Friday, May 6, 2016

DFID Director General Economic Development and Chief Economist visit Tanzania                                                                                       
Press Release

Friday 06 May, 2016

DFID Director General Economic Development and Chief Economist visit Tanzania

From Tuesday 3rd to Thursday 5th May, the UK’s Department for International Development (DFID) Tanzania office hosted its Director General for Economic Development, David Kennedy, and Chief Economist, Professor Stefan Dercon, for a three-day official visit. Their visit was to understand the economic challenges facing Tanzania and how the UK can support Tanzania’s drive for industrialisation under its five-year development plan, including by realising the potential of its youthful population.

Mr Kennedy and Prof. Dercon focussed particularly on agriculture manufacturing, infrastructure and urban development. They met with a range of private sector, civil society and media figures to discuss the business environment, government plans for industrialisation, and wider development challenges.
 • They visited Tanzania’s largest garment factory – discussing successes and challenges with Tooku Garments management.
 • Smallholder agriculture remains the main source of employment and income for Tanzanians and they participated in a roundtable discussion on smallholder farmer development, focussing on how best donors might provide support.
 • They were also briefed on commercial agriculture and DFID’s investment in a 20-year tea project in Njombe district, designed to break the ‘vicious cycle’ of low returns and low investment in the sector.
 • Prof. Dercon made a field trip to Kilimanjaro region, meeting with smallholder poultry farmers, the Chair of the Tanzania Horticulture Association and Equity for Tanzania Limited, a business providing equipment leasing to small enterprises and farmer groups.
 • On urban infrastructure, they visited Dar es Salaam port, seeing the ambitious plans the Tanzanian government has for modernisation and how DFID support will help meet these.

           
Notes to Editors:

 1. The UK Aid budget for Tanzania (administered by DFID) in 2016/17 is £182,000,000.
 2. Of this, approximately 34% will focus on directly supporting agriculture, infrastructure and the business environment
 3. Key programmes in DFID Tanzania’s current economic development portfolio include:
 1. The Southern Agriculture Growth Corridor Programme, which will raise rural incomes and increase food security through the growth of commercial agribusinesses, benefitting over 230,000 households by 2017.
 2. Dar es Salaam port, the highest single infrastructure priority nationally, where DFID funds will reduce transit time by 5 days and increase cargo capacity by 20%.
 3. Building Urban Resilience to Climate Change in Tanzania’s cities and towns through improved data and evidence, urban planning, and infrastructure provision for sustainable economic growth and development.
 4. The Improving Rural Access programme will support local government infrastructure development, reduce transport costs and improve access to markets leading to an increase in rural incomes for 45,000 households.

For more information, please contact:

Michael Dalali
Projects and Press Officer
British High Commission, Dar es Salaam
Tel: +255 (0) 22 229 0269
Mob: +255 (0)762 791 991Press Release

Ijumaa 06 Mei, 2016

Ujio wa Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Kiuchumi na  Mchumi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Nchini Tanzania.

Mnamo tarehe tatu hadi tano mwezi wa tano, shirika la maendeleo ya kimataifa la Uingereza nchini Tanzania (DFID) lilipokea ugeni maalum kutoka nchini Uingereza. Ugeni huu uliwajumuisha David Kennedy, ambaye ni mkurugenzi mkuu wa maendeleo ya kiuchumi wa shirika hilo, na Mchumi mkuu wa shirika hilo, Profesa Stefan Dercon. Ziara yao ilikuwa na lengo la kutambua vikwazo  vya kiuchumi vinavyoikabili Tanzania kwa sasa, na jinsi msaada wa Shirika hilo la Uingereza utakavyoweza kuiunga mkono Tanzania, katika kuleta maendeleo ya kiviwanda, chini ya mpango wake wa miaka mitano, pamoja na kutumia ipasavyo nguvu za vijana wake wengi. 

Ujio wa Bwana Kennedy na Profesa Dercon ulijikita katika kilimo, uzalishaji, miundombinu na maendeleo ya miji. Waikutana na wadau mbalimbali wa sekta binafsi, mashirika ya kijamii na wanahabari ili kujadili kuhusu mazingira ya kufanya biashara, mipango ya serikali katika uchumi wa viwanda na changamoto katika kuleta maendeleo kwa ujumla wake.

 • Walitembelea kiwanda cha mavazi kikubwa kuliko vyote nchini Tanzania kinachotambulika kwa jina la Tooku Garments na kujadili na uongozi wa kiwanda hicho kuhusu mafanikio na  vikwazo vinavyokikabili.
 • Wakulima wadogo wanabaki kuwa chanzo kikuu cha ajira na pato la watanzania. Katika hili, wageni hawa walijumuika katika mazungumzo kujadili kuhusiana na maendeleo ya wakulima wadogo, wakiangazia namna wafadhili wanavyoweza kutoa msaada kwa ufanisi.
 • Pia walifundishwa kuhusiana na kilimo cha kibiashara, hususan uwekezaji wa DFID katika mradi mmoja wa miaka ishirini wilayani Njombe, ambao lengo lake ni kukomesha kurudiarudia kwa hali ya mapato kidogo kusababisha upungufu wa uwekezaji, inayoiathiri sekta hiyo
 • Naye Profesa Dercon alitembelea mkoa wa Kilimanjaro na kukutana na wakulima wa kuku wadogo wadogo, mwenyekiti wa chama cha wazalishaji wa maua Tanzania, na Equity For Tanzania limited, kampuni inayotoa mikopo ya vifaa kwa wajasiriamali wadogo wadogo na vikundi vya wakulima.
 • Katika miundombinu ya miji, ugeni huu ulifika katika bandari ya Dar es salaam na kujionea mipango mikubwa ambayo serikali ya Tanzania inayo katika kuisasisha bandari hiyo na kutathmini ni kwa namna gani shirika la maendeleo la kimataifa la uingereza linaweza kusaidia.

Kwa wahariri:
 1. Bajeti ya UK Aid (inayoratibiwa na DFID) nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016/17 ni pauni (£) 182,000,000.
 2. Kati ya fedha hizo, takriban asilimia 34 itatumika kwenye miradi ya kusaidia kilimo, miundombinu na mazingira ya kufanya biashara
 3. Miradi muhimu ya DFID katika sekta ya maendeleo ya kiuchumi nchini Tanzania kwa sasa ni kama ifuatayo:
 1. Southern Agricultural Growth Corridor Programme (mradi wa Ushoroba wa kusini wa ukuaji wa kilimo) itaongeza mapato ya wanakijiji na kuimarisha usalama wa kilishe kwa kukuza biashara za kilimo, ili kunufaisha kaya zisizopungua 230,000 ifikapo mwaka 2017
 2. Dar es Salaam Port (Bandari ya Dar es Salaam) ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha taifa katika miundombinu, ambapo mradi wa DFID utapunguza kwa siku 5 muda wa kupitia kwa bidhaa, na kuongeza ujazo kwa asilimia 20
 3. Building Urban Resilience to Climate Change (Kujenga ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi mijini) ambao utatumia data na ushahidi madhubuti, mipango miji na kuongeza miundombinu, ili kuleta ukuaji na maendeleo endelevu
 4. Improving Rural Access Programme (Barabara vijijini) utasaidia serikali za mitaa kuendeleza miundombinu, kupunguza gharama za uchukuzi, na kupanua upatikanaji wa masoko ili kuongeza mapato ya kaya zisizopungua 45,000

Kwa mawasiliano zaidi;

Michael Dalali,
Afisa Miradi na Habari,
Ubalozi wa Uingereza, Dar es Salaam
Simu: +255 (0) 22 229 0269
Simu: +255 (0)762 791 991

Tanzania Mobile Phone Subscribers increases to 24% in 2015 while the Internet Penetration Reaches 34%Dar es Salaam, Tanzania, May 3rd, 2016 -The Tanzania Regulatory Authority has recently released a report which shows that there were 39,665,600 mobile phone subscribers in 2015, which is an increase of 24% compared to 31,862,656 in 2014.

According to Andrea Guzzoni, the Country Manager of JovagoTanzania, the internet was often more accessible by only the high end society, a trend that has since changed with the current total number of internet users in the country hitting 34%. This is contributed by the fact that a lot of people can now access the internet easily through their smart phones.

Owning a Smartphone is no longer a luxury but has become an important tool to boost the country’s economy, if it will be used more appropriately. We need to see business people especially the hotel managers advertising their products and the customers becoming confident in buying or getting their services online,” he added.

However, Lilian Kisasa, PR and Marketing Manager of JovagoTanzania said that, “At Jovago, we motivate people to be more interested in the online business since we are in a digital era and we should not be left behind technologically.

She further noted that, “we have tried our best to put our website in Swahili the local language, so that everyone can get our service online, but also, anybody can easily book the hotel by downloading the Jovago App whether he or she is using Android or Iphone  products.

About Jovago
Jovago.com is an online hotel booking service with offices in Kampala (Uganda) Lagos (Nigeria), Nairobi (Kenya) and Dakar (Senegal) founded by Africa Internet Group and has Rocket Internet, MTN, Millicom, AXA, Orange and Goldman Sachs as its investors. Jovago.com, Africa’s No.1 booking portal, facilitates the booking process for its users to provide them with the best hotel booking experience with fast, transparent and easy-to-use services. Jovago.com has over 25,000 local hotel listings across Africa and over 200,000 hotels around the world.  

Tuesday, May 3, 2016

MNYIKA AWATOSA WATHIRIKA BOMOABOMA KIBAMBA
Na Humphrey Shao

Wakazi wa mji wa Kibamba ambao wamekutwa na bomoabomoa wamelalamika kutomuona mbunge wa Jimbo hilo John Mnyika kushindwa kwenda kuwaona na badala yake kutuma mwakilishi jambo ambalo sio saa.

Wakizungumza kwa  nyakati  tofauti  mara baada ya kubolewa wamesema kuwa ni vyema mbunge angefika na kuwaangalia ni jinsi gani wanavyopata tabu kish  kufikiria namna ya kuwasaidia.

“kwakweli tunapata shida sna lakini cha ajabu hata Yule mbunge tuliyemchagua wenyewe ameshindwa kuja badala yake ametuma mwakilishi  ambae awezi kufikisha ujumbe wetu kama tunavyotaka sisi”TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...