Thursday, May 26, 2016

JOVAGO YAONGEZA WATEMBELEAJI KWA ASILIMIA 20%

 Na Humphrey Shao

Kampuni ya huduma za Mtandao wa kukodisha Hoteli kwa njia ya Mtandao ya Jovago imeweza kuongeza wateja kwa asilimia 20 kwa tangu kuanzishwa kwake hapa nchini.

Akizungumza na waandishi wa Habari hapa nchini Mkurugenzi wa Jovago Tanzania Andrew Guzoun , juu ya hali ya soko la utalii hapa nchini.

Andrew alisema kuwa idadai ya wageni wengio watokewa kuvutiwa na ukanda wa eneo la kusini mwa Tanzania hasa katika swal azima la utamduni na Utalii wa Maisha ya watu wa kusini lakini bado kumekuwa na Changamoto nyingi.

alitaja licha ya Mahitaji kuongezeka  bado kuna changamoto ya Hotel
Sunday, May 22, 2016

CUF WAZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU YA UCHAGUZI WA 2015

 Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, akionyesha waandishi wa Habari Ripoti ya matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu katika kipindi cha Uchaguzi 2015, Kushoto kwake, Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo  na aliyekuwa mbunge Visiwani Zanzibar, Ismail Jusa Ladhu

WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO UCHINA

Makamu wa Rais wa Maonyesho ya Wachina Maharufu kama China International Beauty Expo African Hall,Rex Chan akizungumza na Waanddishi w...