Wednesday, July 13, 2016

SWIZPORT YAZINDUA GHALA MPYA JNA

 aziri wa Kilimo na Uvuvi na Ufugaji,Charlse Tyzeba ,akizungumza navwafanyakazi wa kampuni ya kupokea mizigo ya Swizport jijini Dar es Salaam jana mara baada ya uzinduzi wa ghala jipya la kuhifadia mizigo
 Mwenyekiti wa bodi  ya Swizport Mark Sinner akizungumza na watumishi wa kampuni hiyop hapa nchini mara baada ya kuzinduliwa kwa ghala mpya ya kuhifadhia mizigo.

 Mkurugenzi mkuu wa Swizport Tanzania ,Gaudence Temu, akizungumza na watumsihi wa kampuni hiyo mara baada ya kuzinduliwa


Na Humphrey Shao,

Waziri wa kilimo Chakula mifugo na Uvuvi  Charlse Tyzeba, amewataka mamlaka ya viwanja vya ndege kupata wabia wenye viango vya Swizport katika uendeshaji wa huduma za upakuaji mizigo na kupokea .
Tyzeba alisema hayo jana alipokuwa akizundua ghala jipya la kuhifadhi mzigo kutoka sehemu mablimbali katika uwanaja wa ndege wa Kimataifa wa Jk Nyerere jijini Dar es Salaam

"huu ndio ubia tuanaotuka wenye viwango vya juu na kuridhisha hivyo sitegeo kuona watu wengine wakija kuwekeza hapa katika mfumo wa PPP Kuwa chini ya kiwango hichii "alisema Waziri.

Sunday, July 10, 2016

PICHA TOFAUTI ZA RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU WA INDIA NARENDRA MODI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakisalimiana na Waziri mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri mkuu wa India Narendra Modi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na  mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam

WAZIRI MKUU AWATAKA WAHINDI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKZAJI ZILIZOPO NCHINI HASA SEKTA YA VIWANDA

 Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa hapa nchini na kutoka nchini India kuhusu fursa za uwekezaji katika viwanda na gesi Dar es Salaam. Picha na Humphrey Shao.Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataja wafanyabiashara wa India kuja kuwekeza katika sekta ya viwanda hapa nchini kutokana auhitaji wa soko la bidhaa mbalimbali kwa watanzania.

Waziri Majaliwa alisema hayo katika mkutano wa Wafanyabiashara wa India na Tanzania ulioanndaliwa na kituo cha uwekezaji cha TIC na kuhudhuliwa na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa 50 kutoka nchini india waliongozana na waziri mkuu wa nchi hiyo.

Majaliwa alisema alisema kuwa Tanzania ndo nchi pekee ambayo ina mazingira mazuri ya uwekzaji na usalama wa kutosha na soko la uakika.

SIMBA YAENDA KUJIFUA MORO KUSAKA UBINGWA


WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO UCHINA

Makamu wa Rais wa Maonyesho ya Wachina Maharufu kama China International Beauty Expo African Hall,Rex Chan akizungumza na Waanddishi w...