Monday, May 29, 2017

REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO

 Mwakilishi wa tasisi ya Rehema foundation ,Zuber akigawa chakula kwa ajili ya futari  kwa wakazi wa Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya msaada ul;iotolewa na tasisi yao kutoka kwa wananch mbali mbali wa nchi ya Uturuki kwa kipindi hiki cha Ramadhani
 Mwenyekiti wa Tasisi ya Rehema ,Mustafa Diriel akigawa mifuko ya futari kwa wasiojiweza na wazee wa kijiji cha Kilomo Bagamoyo Pwani.Chakula hili kimechangishwa na watu mbali mbali katika inchi ya Uturuki
 Mohamedd akimpatia mzee Miraji fuko lake la futari katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani

 Wafanyakazi wa tasisi ya Rehema Fondutioni wakigawa mifuko ya chakula
Mbunge wa Bagamoyo akiwa na timu mzima ya Taasisi ya Rehema na wakazi wa kilomo baada ya kupewa msaada huo.

No comments:

Post a Comment

LATIFA KANYANGA ASHEREHEKEA MAHAFALI YAKE YA KIDATO CHA NNE GREEN ACRES SEKONDARI

Afisa elimu Wilaya Ubungo, akizungumza wakati wa Mahafali ya 18 ya shule ya Sekondari ya Green Acres yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. ...