Thursday, June 29, 2017

ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI

 Rebeca Gumi kutoka tasisi ya Msichana Initiative akizungumza juu ya adha wanazopitia watoto wa kike pindi wanapokuwa katika masomo yao mara tu wanapovunja ungo mpaka kuhitimu mafunzo ya elimu ya juu na kuomba wapewe nafasi ya pekee katika jamii hili waweze kuzifikia ndoto zao.
 Mtafiti kutoka Tasisi isiyo ya Kiserikali ya TWAWEZA ,Richard Temu akizungumzia juu ya matokeo ya tafiti iliyofanyw ana asasi za kirai kwa kushirikiana na Serikali katika kubaini Changamoto za mtoto wa kike .

 Mkurugenzi wa  chama cha Wanasheria Wanawake nchini (Tawla) ,Tike Mwambipile akizungumza masuala ya kisheria yatakayo msaidia mtoto wa kike hili aweze kufanikiw akatika masomo yake.
 Meneja utetezi wa Twaweza ,Annastazia Rugaba akiwasilisha mada juu masuala yanayo mkabili msichana pindi anapokuwa shuleni
 Kaimu Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu , Anna Henga akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa msichana kupata elimu nchini
 Mwandishi kutoka jamii Forum ,Asha Abinallah akiuliza swali kwa viongozi wa asasi za kiraia
 Sehemu ya washiriki wakiwa katika mkutano huo
Sehemu ya Waandishi  walioshiriki mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...