Saturday, June 17, 2017

BIASHARA YA KUBEBA MKAA KWA NJIA YA BAISKELI YASHAMIRI CHANIKA

 Mfanyabiashara ya Mkaa akipandisha na Baiskeli iliyobeba mkaa katika eneo la pugu Sekondari akitokea maneo ya Chanika kwa ajli ya kufata soko katika eneo la Gongolamboto Dar es Salaam.
 Mfanyabiashara ya Mkaa akipandisha eneo la Kigogo Fresh Pugu  akitokea Chanika  na kufata masoko katika eneo la Gongo la Mboto  mchuuzi huyo utembea zaidi ya kilometa kumi kutokea katika maeneo ya misitu hadi kufika mjini akiwa na mzigo huo
 Mfanyabiashara ya Mkaa akiwa amepumzika katika eneo la Chanika mara baada ya kutembea kwa muda mrefu akifuata soko katika eneo la Gongo lamboto Jijini Dar es Salaam
Baiskeli zikiwa zimeka kituo katika eneo la Kigogo Fresh nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Dk 30 ZA ASLAY ALIVYOWALIZA WATU ESCAPE ONE

Na Humphrey Shao , Globu ya Jamii Ilikuwa siku ya feb 17 ambapo Msanii wa Muziki wa BONGO Fleva Aslay Isihaka alivyoweza kubadilisha H...