Thursday, June 15, 2017

CCM YAMPONGEZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI SAKATA LA MAKINIKIA

 Katibu wa Itikadi na Unezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akitoa tamko la Chama kuunga mkono juhudi za Rais John Pombe Magufuli alizozichukua katika mchanga wa dhahabu nchini na kupelekea kampuni ya Barick kukubali kukaa mezani na serikali kulipa fedha zote ambazo zilitakiwa kulipwa hapo awali na kupotea kiujanja ujanja .
 Sehemu ya Waandishi wa habari waliofika kumsikiliza Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole katika kumpongeza  Rais John Pombe magufuli
 Sehemu ya Wapiga picha walioshiriki kumsikiliza Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole katika kumpongeza  Rais John Pombe magufuli
 Katibu wa Itikadi na Unezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akitoa tamko la Chama kuunga mkono juhudi za Rais John Pombe Magufuli alizozichukua katika mchanga wa dhahabu nchini na kupelekea kampuni ya Barick kukubali kukaa mezani na serikali kulipa fedha zote ambazo zilitakiwa kulipwa hapo awali na kupotea kiujanja ujanja .
Katibu wa Itikadi na Unezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akizungumza na Waandishiwa vyombo mbalimbali vya habari waliofika katika mkutano wake

No comments:

Post a Comment

DC SINYAMULE ; AMEWATAKA VIJANA KUWA WAZALENDO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule  amewataka Vijana kuwa wazalendo hili kuweza kuyaenzi ...