Monday, June 5, 2017

DC MJEMA AWAONGOZA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU MAZINGIRA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema  akizungumza katia kuhadhimisha siku ya Mazingira Duniani katika mkoa wa Dar es Salaam
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema  akikabidhi cheti kwa Mwandishi wa ITV , Benjamini Mzinga kuwa mmja wa wadau makini katika utunzaji wa Mazingira

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akizungumza katika mkutano wa kuhadhimisha siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Uwanja wa mnazi mmoja wa Dar es Salaam
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema  akikabidhi cheti cha kuwa mtunzaji bora wa mazingira katika Manispaa ya Ilala kwa Mwanahabari mkongwe nchini kutoka shirika la utangazaji TBC, Selemani Mkufya
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjemai  kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Osterbay Zefrin Lubuva kuwa  mshindi wa Mazingira
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam na Watoto wa jeshila wokovu
Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akikagua mabanda ya tasisi mbalimbali

No comments:

Post a Comment

M-KOPA YAFUNGA UMEME JUA WENYE THAMANI YA Tshs 4,959,000. KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWINYI MKURANGA PWANI

 Meneja Msaidizi wa M-Kopa nchini , June Muli akikabidhi boksi la Vifaa vya umeme wa jua kma ishara ya makabidhiano ya mradi wa umeme uli...