Monday, June 19, 2017

MAALIM SEIF AFUTURU NA WAKAZI WA TEMEKE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akiwa amejumuika na wakazi wa Temeke katika swala ya Magharibi  iliyofanyika nyumbani kwa Mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea ambapo alipata kujumuika katika futari na wakazi wa eneo hilo iliyoandaliwa na Mbunge huyo
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto  akiwa katika foleni ya kuchukua futari katika futuru iliyoandaliwa na Mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea Nyumbani kwake Buza Kanisani Dar es Salaam.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto  akiwa katika safu ya kuswali swala ya Magharibi nyumbani kwa Mbunge wa Temeke Abdalaha Mtolea wakati wa futari iliyoandaliwa na Mbunge huyo
Umati wa watu uliofika katika  futari iliyoandaliwa na mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea
Mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea akitoa neno la Shukrani kwa watu waliojumuika katika futari aliyo iandaa nyumbani kwake Buza Kanisani Temeke jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akitoa neno kwa wakazi wa Temeke jijini Dar es Salaam mara baada ya futari iliyoanfdaliwa na mbunge wa jimbo hilo Abdalah Mtolea.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akitoa neno kwa wakazi wa Temeke jijini Dar es Salaam mara baada ya futari iliyoanfdaliwa na mbunge wa jimbo hilo Abdalah Mtolea.
Umati wa watu uliofika katika  futari iliyoandaliwa na mbunge wa Temeke Abdalah Mtolea

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamadakiw akatika dua na wakazi wa Temeke
wakazi wa Temeke wakiwa wameketi mara baada ya futari wakisikiliza mawaidha

No comments:

Post a Comment

MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDI

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Ma...