Tuesday, June 27, 2017

MAHOJIANO YA LOWASSA WAANDISHI WAWEKWA NJE YA MITA MIAMBILI YA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI

 Sehemu ya Magari yanayolinda eneo la kuingia makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini mahali ambapo Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa amekwenda luhojiwa na DCI kutokana na matamko yake ya hivi karibuni
 Waandishi wa habri kutoka vyombo mbalimbali wakiwa wamekaa umbali zaidi ya mita miambili kusubiri nini kitatokea mara baada ya waziri mkuu wa Zamani Edward Lowassa akimaliza kuhojiwa
 Waandishi wa habri kutoka vyombo mbalimbali wakiwa wamekaa umbali zaidi ya mita miambili kusubiri nini kitatokea mara baada ya waziri mkuu wa Zamani Edward Lowassa  akimaliza kuhojiwa
 Mpiga picha wa kituo  cha Televisheni cha Azam akipita mbali ya eneo la makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzuiwa asisogee karibu na ofis hiyo
 Waandishi wa habri kutoka vyombo mbalimbali wakiwa wamekaa umbali zaidi ya mita miambili kusubiri nini kitatokea mara baada ya waziri mkuu wa Zamani Edward Lowasa akimaliza kuhojiwa
 Sehemu ya Magari yanayolinda eneo la kuingia makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini mahali ambapo Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa amekwenda kuhojiwa na DCI  Juu ya matamko yake aliyoyatoa hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...