Thursday, June 15, 2017

MANISPAA YA KINONDONI YATAKA BILIONI 4 ZILIZOPO KWENYE AKUNTI ZA KATA ZITUMIKE KWENYE MIRADI ILIYOKUSUDIWA

 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta  akizungumza wakatiwa kikao cha baraza la Madiwani katika ukumbi wa Manispa ahiyo Magomeni jijini Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Aron Kangurumjuli aakizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani
 Diwani wa Kata ya Magomeni ,Julian Bujugo akichangaia katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Kinondoni
 Afisa Utumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Anna Mwakasyesye akijibu hoja za Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni katika kikao cha baraza
 Sehemu ya Madiwani walioshiriki katika kikao cha Baraza la Madiwani  la Manispaa ya KINONDONI
 Diwani wa Kata ya Kunduchi kwa tiketi ya Chma cha Mapinduzi ,Michael Urio  akichangia hoja katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo Magomeni jijini Dar es Salaam
 Diwani wa kata ya Mwananyamala , Songoro Mnyonge akichangia mada katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo Magomeni jijini Dar es Salaam
 Mchumi wa Manispaa ya Kinondoni Eugene Haruna akijibu hoja za madiwani katika kikao cha baraza la Madiwani wa Manispaa ya KINONDONI
 Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi(PMU manispaa ya Kinondoni  akijibu hoja za Madiwani wa Manispaa hiyo
 Diwani wa kata ya Ndugumbi Manispaa ya Kinondoni ,Thadey  Massawe akichangia hoja katika  kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa  ya Kinondoni.
 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta  akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Aron Kangurumjuli katika kikao cha Baraza la Madiwan

Diwani wa Viti Maalum CHADEMA ,Caroline Kazinza akichangia hoja katika  kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa  ya Kinondoni.Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni limeagiza kuakikisha fedha zote zilizopo katika akaunti za kata zaidi ya Bilioni 4.9 zifanyiwe utaratibu wa manunuzi hili ziweze kutekeleza miradi iliyokusudiwa katika   kata hizo.


Maazimio hayo yamefikiwa katika baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo lililongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo ,Benjamini Sitta na kumuagiza  .


Aidha baraza hilo pia limeridhia maombi ya kamati ya Fedha kwa kutaka kubuni vyanzo vipya fedha vitakavyosaidia Halmashauri hiyo kupta fedha zaidi licha ya baadhi ya vyanzo kuahamia serikali kuu. 

pia kikao hicho kilipitisha azimio la kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kitendo chake cha kizalendo cha kuhakikisha kuwa fedha za watanzania zilikuwa zinapotea kutokana na mchanga wa Madini uliokuwa ukisafirishwa nje kiholela unapangiwa utaratibu  wa kunufaisha Serikali.No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...