Wednesday, July 5, 2017

AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60

 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wa Amref  Uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi wa Amref Nchini,Florence Temu  akizungumza wakati wa mkutano huo wa wadau uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam


 Mtendaji mkuu wa kurugenzi wa Amref Africa ,Githinji Gitahi akizungumza kwa ufupi Historia ya Amref Hapa nchini na Mafanikio yake katika sekta ya Afya
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumzia namna gani Amref imesaidiakatika sekta ya Afya nchini
 sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref  katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
  sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref  katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
Picha ya Pamoja ya wadau wa Amref na Mgeni Rasmi Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo

No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...