Saturday, July 1, 2017

BASATA YASAINI MKATABA NA YONO

 Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini(BASATA),Onesmo Kayamba akizungumza na waandishi wa habari juu ya mkataba wao wa kufanya kazi na kampuni ya YONO Action Mart juu ya kukamata kumbi zote za Starehe ambazo azijalipiwa vibali vya BASATA.
 Mkurugenzi wa YONO ,Scholastica Kevela  akizungumza jinsi kampuni yake itakavyosaidia BASATA kukusanya mapato na kukamta kumbi zote ambazo azina vibali vya kufanya shughuli za burudani na zile ambazo zimeisha muda wake
 Mwanasheria wa BASATA, Francis Magare  akitopa somo juu ya majukumu ya BASATA kwa watendaji wa kampuni ya YONO Auction Mart hili waweze kufanya kazi yao kwa weledi
Afisa Sanaa wa BASATA  Agustino Makame akiazungumza juuu ya umuhimu wa wenye kumbi za Starehe kulipa ada ya leseni zao hili kuepuka usumbufu utakao wakumba
 Sehemu ya washiriki wa mkutano huo ambao wanapewa mafuzno na BASATA Kwa kushirikiana na YONO
 Sehemu ya washiriki wa mkutano huo ambao wanapewa mafuzno na BASATA Kwa kushirikiana na YONO
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo ambao wanapewa mafuzno na BASATA Kwa kushirikiana na YONO

No comments:

Post a Comment

ROSEMARY LUHAMO KUTOKA DODOMA AKABIDHIWA MAMILIONI YAKE NA UMOJA SPESHO

 Mshindi wa Shindano la Moja Spesho, Rosemary  Luhamo akiwa na furaha mara baada ya kukabidhiwa pesa zake kupitia Benki ya CRDB na Kampun...