BONDIA IBRAHI KING CLASS AWASILI NCHINI NA UBINGWA AKITOKEA UJERUMANI

 Bondia Ibrahim King Class akiwasili nchini akitokea nchini Ujerumani ambapo alishinda taji la Dunia ubingwa Global Boxig Council  katika uzito wa kati mara baada ya kumchapa Jose Forero wa  wa Panama  kwa Point
  Bondia Ibrahim King Class akinyoosha mkanda wake juu wa ubingwa
  Bondia Ibrahim King Class akiwa na kocha wake Ibrahim Kinyogoli  mara baada ya kutaua nchini
  Bondia Ibrahim King Class akiwa na kocha wake Rajabu Muhamila Super D mara baada ya kuwasili nchini
  Bondia Ibrahim King Class akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ngumi
 Bondia Ibrahim King Class akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ngumi


Post a Comment

Previous Post Next Post