Sunday, July 2, 2017

BRITISH COUNCIL YAANZA KUWAHUDUMIA WANAOTAKA KUJIFUNZA KINGEREZA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

 Meneja Biashara wa kituo cha kijufunza Kingereza cha British Council ,Amata Bosco akizungumza na mmoja wa vijana waliofika kutka kujiunga na programu za British Council hili waweze kuongeza kingereza kwa ufasaha

 Ofisa Huduma kwa wateja ,Leonia Kazimoto  akizungumza wateja waliotembelea banda la British Council katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam  ambapo wanatoa huduma ya mafunzo ya kingereza Sehemu ya wadau wa British Council wakiwa wanajisomea ndani ya banda la Tasisi hiyo lililopo katika Viwanja vya Sabasaba


No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...