Tuesday, July 11, 2017

CHUO CHA UTALII TANZANIA CHA WAKARIBISHA WATANZANIA KUJIUNGA NA CHUO HICHO

 Kaimu Mkuu wa Chuo cha Utalii Tanzania ,Rosada Msoma  akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo  cha Utalii nchini
 Baadhi ya watendaji wa Chuo cha utalii walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho
Waandishi wa habari walioshiriki kutano huo wa  Waandishi wa Habari juu ya kozi zinazotolewa na chuo hicho

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...