Sunday, July 16, 2017

diwani viti maalum wa vifaa vya madrassa

 Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh akizungumza na Waandishi wa haabri kabla ya kukabidhi Msaada wa Mashine za Kujifunia kwa watoto wasioona na Misaafu kwa ajili ya Madrasa ya Nuru Islamiya iliyopo katika Msikiti wa Mtemi jijini Dar es Salaam.
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh akikabidhi mashine ya kuchapia na karatasi zake kwa Mwalimu wa Madrasa amabye ana uoni hafifu ,Mohamed Katani kwa ajili ya kusaidia kufundishia atoto wasiona na kutafsiri juzuz  kwenda katika maandishi ya nukta Nundu hili walemavu wa macho wapate kujifunza dini kupitia mwalimu huyo
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh, akikabidhi Juzuu Maalum kwa Mwanafunzi mwenye matatizo ya macho,Shaviru Hamis  hili aweze kujifunza  kwa urasi masomo yake ya Madrasa
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka kwa  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh, akikabidhi Misaafu na juzuz kwa ajili ya wanafunzi wa Madrasa ya Nuru Islamiya  kwa mwalimu wao Mohamed Hussein hili waweze kujifunza kupitia vifaa hivyo
 Mwalimu wa Madrasa amabye ana uoni hafifu ,Mohamed Katani akitoa neno la shhukrani
 wanafunzi wa madrasa

No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...