Monday, July 3, 2017

DKT NZUKI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Aloyce Nzuki  akizungumza na baadhi ya watumishi wa wizara hiyo alipotembelea banda la Wizara hiyo katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam


Afisa Uhusiano wa Bodi ya Utalii Tanzania, Geofrey Tengeneza, akiwa katika mahojiano na Mwandishi wa kituo cha rRadio cha Clouds Fm Power Breakfast ndani ya banda hilo akizungumzia juu ya utalii wa ndani

Sehemu ya Watanzania waliotembelea banda Maliasili na kujionea wanyama mbalimbali ndani ya Zoo ndogo


Simba jike na Dume wakionekana ndani ya Zoo iliyopo ndani ya banda la Wizara ya maliasili ndani ya Maonyesho ya Sabasaba

Mbega wakiwa ndani ya Zoo iliyopo ndani ya banda la Wizara ya maliasili katika Maonyesho ya Sabasaba


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Aloyce Nzuki  akizungumza na baadhi ya watumishi wa wizara hiyo ambao wanafanykazi katika Idara ya Makumbusho ya Taifa.

No comments:

Post a Comment

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA MNMA

Na Humphrey Shao, Globu Ya jamii Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano kuhusu Maende...