Saturday, July 15, 2017

FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA ARTS NA WATATU KITAIFA KWA WASICHANA

 Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa amebebwa juu na wanafunzi wenzie wa shule hiyo mara baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika Masomo ya Arts na Biashara katika matokeo yaliyotangazwa na baraza la mitihani leo
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwasili shuleni hapo mara baada ya kutangazwa kuwa Mwanafunzi bora wa Masomo ya Arts na Biashara kitaifa kwa Wavulana
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake wote wawili ,Thomas Samky na Victoria Samky mara walipofika shuleni hapo
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakiwa katika picha ya pamoja wenye furaha mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana Feza mara baada ya matokeo kutoka ambapo Atganile amekuwa wa tatu kitaifa katika Masomo ya Sayansi na Kabhabhira amekuwa wa Saba katika masomo hayo.
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakilakiwa na walimu wao mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana feza walipokuwa wanasoma mara baada ya matokeo ya kidato cha Sita kutoka
 Mwanafunzi aliyefanya vizuri na kuwa wa tatu  katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,  Atuganile Cairo akiwa na Mama yake Mzazi  akimpongeza kwa kufanya vizuri katika mtihani huo wa kidato cha Sita
  Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakiangalia matokeo ya wanafunzi wengine kwenye simu mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana Feza
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakisalimiana na Mwalimu mkuu wa Shule ya Wasichana fedha ,Ibrahim Rashid pamoja na baba yake atuganile Jimmy Cairo

No comments:

Post a Comment

Waziri Dk Kigwangalla ataka wavamizi maeneo yaliyohifadhiwa kuondoka

Mwandishi wetu,Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla amewataka wananchi waliovamia maeneo ya hifadhi nchini,...