Wednesday, July 5, 2017

IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR ES SALAAM


MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirronaMenejaMkuuwakampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo Liu wakikatautepekuashiriakukabidhiwamagarimanneyaliyotolewanakampunihiyoikiwanijuhudizakekatikakulisaidiaJeshi la Polisi kupambananauhalifunchini.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar esSalaam


MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakisikilizamaelekezoyajinsiinavyotumikamojayamagarimannewaliyokabidhiwanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval.AnayemuelekezaniMenejawaKampuniyaKifaru,Mario Gaspari.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam

MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakikaguamojayamagarimannewaliyokabidhiwanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval.AmbapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar esSalaam

MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval, ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.

MenejawaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo Liu,akizungumzawakatiwaHaflayamakabidhianomagarimanneyaliyotolewanaKampunihiyoambapoaliahidikushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifunchini.Kushotoaliyesimamanimkalimaniwalughayakichina.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.

MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon SirroakipitambeleyamagarimanneyaliyotolewanaKampuniyautengenezajimagariyaHaval, ambapoaliishukurukampunihiyokwakushirikiananaJeshi la Polisi katika vita yakupambananauhalifu.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
MkuuwaJeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro(wannekulia), akiwakatikapichayapamojanaMenejawaKampuniyautengenezajimagariyaHaval,Jianguo Liu(watatukushoto),baadayamakabidhianoyamagarimannekutokakwakampunihiyoikiwanimchangowaokatikakulisaidiaJeshi la Polisi kupambananauhalifunchini.WengineniviongoziwajuuwajeshinaviongoziwakampuniyaHaval.HaflahiyoimefanyikaleokatikaUkumbiwaMikutanowaPolisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

MWAKIBINGA AONGOZA WAISLAMU KAWE KUPELEKA KILIO CHAO KWA RAIS MAGUFULI

 Mwanaharakati na Mzawa Kawe James Mwakibinga akizungumza na wakazi wa Kawe wakati walipokuwa wakitoa ombi lao kwa Rais Magufuli kupitia ...