Tuesday, July 11, 2017

KUMBILAMOTO AMALIZA AHAADI ZAKE KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akihutubia wakazi wa Vingunguti wakati wa mkutano wake wa Hadhara wa kutekeleza ahahdi alizoaahidi katika kata hiyo.
 Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana akizungumza katika mkutano wa hadahara uliofanyika Vingunguti
 wakazi wa Vingunguti  wakiwa katika mkutano huo wa Diwani wao Omary Kumbilamoto
 Diwani wa viti Maalum wa Chama cha Wananchi CUF Viti Maalumm kata ya Upanga, Riziki Shahari akikabidhi jezi kwa timu ya mtaa wa kwa kombo
 Bondia wa Ubingwa wa kati wa zamani ,Rashid Matumla akikabidhi mpira kwa Veterani wa Vingunguti
Bondia wa Ubingwa wa kati wa zamani ,Rashid Matumla akizungumza wakati wa mkutano huo

No comments:

Post a Comment

MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDI

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Ma...