Sunday, July 2, 2017

LAPF YAONGEZA WATEJA WA PENSHENI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 AfisaMatekelezo wa LAPF Agnes William akizungumza na mmoja wa wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya jamii katika maonyesho ya kimataifa ya Sabsaba
 Mhasibu wa LAPF, Betty Mlewa akiwasikiliza wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam
 Afisa Mfumo Robert Daniel na Afisa Matekelezo ,John Mwita wakiwaelekeza wateja jinsi ya kujaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa LAPF katika maonyesho ya 41 ya Biashara  Sabasaba jijini Dar es Salaam
 Afisa Ugavi wa LAPF ,Charles Makyao akitoa maelezo kwa mteja alipotembelea banda la mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam
 Wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa  Pensheni wa LAPF   katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam wakipatiwa huduma
 Wateja waliotembelea banda la mfuko huo wa  Pensheni wa LAPF   katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba jijini Dar esSalaam wakipatiwa huduma

No comments:

Post a Comment

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa ...