Wednesday, July 5, 2017

MRISHO MPOTO ATANGAZWA KUWA BALOZI WA PROPERTY INTERNATIONAL

 Mrisho Mpoto akiwa ameshika tuzo ya ,Property International mara baada ya kutangazwa kuwa balozi wa kampuni ya Property International katika maonyesho ya kimataifa ya Biashara
 Mtendaji Mkuu wa Property International , Abdulkarim Haleem  akitoa maelezo kwa Mrisho Mpoto mara baada ya kumtangaza kuwa balozi wa kampuni hiyo
Mrisho Mpoto akipata maelezo kutoka kwa wakurugenzi wa kampuni ya Property

No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...