Sunday, July 2, 2017

MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI

 Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho mpoto akitoa burudani kwa wadau katika Viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba kwa kuwakumbusha juu ya Utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya bonde la Ngorongoro hili kuweza kujionea vivutio Mbalimbali
 Mwanamuziki BizMan akipiga Kinanda cha wimbo wa Mrisho mpoto katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia

Waimbaji wa bendi ya Mpoto Theatre ,Ismail na Fery wakiimba wimbo wa waite  katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia
 Msanii Stara Thomas akiimba pamoja na mrisho mpoto katika shoo kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
 Wasanii wa kikundi cha Mpto Theatre Group wakitoa burudani kwa wadau kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
 Msanii wa bendi ya In Africa Wakimsindikiza Mrisho mpoto kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
 Mpiga Tumba wa InAfrica Band Pompiduuu akipiga tumba kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
 Sehemu ya wadau kutoka bonde la Ngorongoro  wakiwa wanfatilia shoo ya Mrisho mpoto
 Mpiga gitaa wa InAfrica band ambao wameshirikina a  Mpoto Theatre wakati wa kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya SabasabaNo comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...