NIDA YAFURIKA WAKAZI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA

 Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi  hati  kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa 'NIDA' ,Rose Mdami  akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam aliyefika kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa katika banda lao lililopo  katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba
  Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)  ,Agnes Gerald  akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali  waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
 Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta  wa NIDA,Daniel Katondo akizungumza na wateja waliofika katika banda lao kujua taharifa zao zilizopo kwenye vitambulisho vya Taifa
 Folerni ya watu wanaokwenda kuchukua vitambulisho  vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba yanaoendelea mpaka tarehe 13 mwezi huu
  Folerni ya watu wanaokwenda kuchukua vitambulisho  vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba yanaoendelea mpaka tarehe 13 mwezi huu
 Maofisa wa NIDA wakiendelea na zoezi la upigaji picha kwa watu ambao wanahitajika kupata vitambulisho vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba

Post a Comment

Previous Post Next Post