Thursday, July 6, 2017

OSHA ; WAJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA

 Afisa Takwimu kutoka Wakala wa Usalama na Afya  Kazini 'OSHA' akimsaidia mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wamefika katika banda hilo kujifunza namna OSHA inavyofanya kazi
 Mkaguzi Uslama wa Umeme kutoka OSHA,Maria Ndaskoy akimuelewesha mmoja wa wadau wa Mamlaka hiyo waliofika katika Banda la Maonesho Sabasaba kulipia masula mbalimbali
 Mkaguzi wa Mazingira Mahala pa kazi kutoka OSHA, akitoa elimu nmana ya watu wanavyotakiwa kukaa katika maeneo ya viwandani wakiwa salama na kuwwaeleza kazi za OSHA katika
Mkaguzi wa Afya  kutoka Wakala wa Usalama na Afya  Kazini 'OSHA'Dkt Edwin Senguo akitoa huduma ya upimaji Macho kwa wadau waliofika katika banda hilo

No comments:

Post a Comment

MWIJAGE MGENI RASMI KONGAMANO LA VIWANDA MNMA

Na Humphrey Shao, Globu Ya jamii Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage anataraji kufungua kongamano kuhusu Maende...