Thursday, July 20, 2017

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA

 Mwenyekiti wa Alat Taifa ,Gulamhafeez Abubakar Mukadam akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Mkutano mkuu wa Alat Taifa unaotaraji kufanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao,  ambao Rais Dkt John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi ,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa akifuatiwa na Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga
 Kaimu Katibu Mkuu wa -Alat Abdallah Shaban akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo juu ya mkutano Mkuu wa Taifa wa Alat
 Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa  akisisitiza jambo kwa Wandishi wa habari juu mkutano mkuu wa taifa utakao fanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao Mwaka huu
  Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga  akiwa katika mahojiano maalum na Mtangazaji wa kituo cha ITV Sam Mahela
 Waandishi wa haabri waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi wa iadara ya Habari Maelezo wakifatilia kwa makini
Waandishi wa haabri waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi wa iadara ya Habari Maelezo wakifatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment

HDIF YAKABIDHI MRADI WA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA SHIRATI MARA BAADA YA KUTEKELEZA KWA MIAKA MIWILI

   Kiongozi msaidizi wa HDIF, Joseph Manirakiza akimkabidhi barua ya makabidhiano ya mradi na vifaa mganga mkuu wa hospital ya Shirati, D...