Tuesday, July 18, 2017

TRA YATOA SOMO KWA WAFANYABIASHARA WA KICHINA KUTOKA KARIAKOO

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala ,Sophia Mjema akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Wafanyabishara wa Kichina Kariakoo ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) juu ya wajibu wao katika ulipaji kodi na nini cha kufanya hili wasiweze kusumbuliwa na Mamlaka husika
 Mwakilishi wa Balozi wa China aliyefika katika mkutano huo ,Yang Han Ting akizungumza wakati wa mkutano wa Wafanyabiashara wa Kichina juu ya umuhimu wa kulipa kodi ulioandaliwa na Mamlaka ya mapato nchini TRA
 Meneja Elimu kwa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya mapato nchini (TRA), Diana Masalla akizungumza na Waandishi wa habri juu ya umuhimu wa mkutano huo kwa wafanyabiashara hao
 Katibu Tawala Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akifatilia kwa makini katika mkutano huo pamoja na Viongozi wengine wa Meza kuu
 Kamishana Msaidizi Mwandamizi Uhamiaji ambaye ndio Kaimu Afisa Uhamiaji -Ilala,Charles Washima akizungumza na Waandishi wa haabri juu ya Changamoto za Wafanyabiashara wa kigeni ambao ufika nchini kwa kufanya kazi tofauti na vibali vyao walivyopata
 Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) wakiwa wanaendelea na kazi katika mkutano huo
 Sehemu ya wafanyabishara wakichina kutoka kariakoo ambao wameshiriki mkutano huo wakifatilia na kusikiliza kwa makini katika mkutano wao na TRA Mkoa wa Ilala
Mkuu wa Wilaya ya Ilala ,Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa kichina

No comments:

Post a Comment

TASISI YA HUMANITY ACTION FOR CHILDREN FOUNDATION YATOA VIFAA KWA WALEMAVU

 Mwanzilishi wa Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation , Rahma Mohamed Abdalah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa ...