Tuesday, July 25, 2017

UJUMBE KUTOKA SERIKALI YA CHINA WATEMBELEA OFISI ZA STAR TIMES NCHINI

 Makamu wa Rais wa Star Media , Mr.Carter  akiwaonyesha wageni kutoka nchini china eneo la kurushia matangazo ya Star Media Tanzania Mikocheni jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea ofisi hizo. s
  Makamu wa Rais wa Star Media , Mr.Carter  akitoa maelezo mafupi kwa ujumbe kutoka nchini china uliotemblea kituo hicho kwa ajili ya kujionea namna wanavyofanya kazi
 Makamu wa Rais wa Star Media , Mr.Carter  akimuonyesha kiongozi wa msafara kutoka  China eneo la Duka la kuuza Ving'amuzi katiak eneo la Bamaga jijini Dar es Salaam  
 Ujumbe kutoka nchini China ukiwa ndani ya Chumba cha kurushia matamgazo
Picha ya Pamoja ya Ujumbe kutoka China mara baada y kutembelea ofisi za Star Media nchini  kujionea namna inavyofanya kazi

No comments:

Post a Comment

MWAKIBINGA AONGOZA WAISLAMU KAWE KUPELEKA KILIO CHAO KWA RAIS MAGUFULI

 Mwanaharakati na Mzawa Kawe James Mwakibinga akizungumza na wakazi wa Kawe wakati walipokuwa wakitoa ombi lao kwa Rais Magufuli kupitia ...