Saturday, July 8, 2017

WATU WAZIDI KUMIMINIKA KUJIUANGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF

 Afisa Sheria wa PPF, Nyambilila Ndomboka akizungumza na moja ya wateja walikuja kuhitaji kujua namna gani kama familia watafaidika na Pensheni za mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonyesho ya 41 ya Sabasaba
 Afisa Uhsuiano Mwandamizi wa PPF,Janet Ezekiel  Amulekeza mteja namna atakavyoweza kuangalia michango yake kwa njia ya simu pasipo kufika ofsini hili kumrahisishia kujua mpango wa Pensheni zake
 Afisa Utafiti wa PPF, Elaine Maro  akizungumza na mteja aliykuja kuchukua fomuya kujiunga na mfuko huo wa Pensheni
 Maofisa wa PPF wakiendelea kuhudumia na kutoa elimu ya mafao kwa wateja mbalimbali waliofika katika banda hilo
Muonekano wa nje wa banda la PPF na jisni watu walivyojaa kwakisubiri huduma ya kujiunga na mfuko huo katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba

No comments:

Post a Comment

Dk 30 ZA ASLAY ALIVYOWALIZA WATU ESCAPE ONE

Na Humphrey Shao , Globu ya Jamii Ilikuwa siku ya feb 17 ambapo Msanii wa Muziki wa BONGO Fleva Aslay Isihaka alivyoweza kubadilisha H...