WATU WAZIDI KUPATA VITU KEMKEM NDANI YA SABASABA

 Wakazi wa mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa wamebeba bidhaa mbalimbali  ambazo wamenunua ndani ya maonesho ya 41  Sabasaba
  Wakazi wa mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa wamebeba bidhaa mbalimbali  ambazo wamenunua ndani ya maonesho ya 41  Sabasaba
 Makatuni ya kucheza na watoto ndani ya Viwnaj vya Maonesho ya Sabasaba
 Mtoto akiwa na kigari cha kuchezea ndani ya Maonesho ya Viwanja vya Sabasaba
 Mussa Manyoka akicheza na Nyoka ndani ya Viwanja vya Saba Saba katika banda la Maonesho ya Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Ngorongoro
 Mussa Manyoka akicheza na Nyoka ndani ya Viwanja vya Saba Saba Maonesho ya Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Ngorongoro
In Africa Band wakitoa burudani ndani ya Viwanja vya Saba Saba Maonesho ya Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Ngorongoro

Post a Comment

Previous Post Next Post