Thursday, August 10, 2017

ARUSHA WAIBUKA VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Simon Msanjila  akikabidhi zawadi kwa washindi wa jumla wa Shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST) lililofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Simon Msanjila  akisoma Zawadi ya Washindi  shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST)lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam Kulia ni Mkurugenzi wa Shell Afrika Mashariki  na Bg Tanzania Marc Den Hartog akishuhudia

Wanafunzi wakiwashangilia washindi wa jumla wa Shinadano la Wana Sayansi Chipukizi lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam

Wanafunzi wakishanglia mara baada ya kupata zawadi zao za ushindi katika shindano la Wanasayansi Chipukizi

No comments:

Post a Comment

MWENGE WA UHURU WAINGIA GAIRO NA KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA MILIONI MIASABA NA ZAIDI

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Morogoro Regina Chonjo mara ulipofika katika eneo la Ma...