GRACA MACHEL AFUNGA MKUTANO WA MAENDELEO KWA WANAWAKE ,KIUCHUMI NA JAMII (WOMEN ADVANCE IN AFRICA)

 Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel  akihutubia wakati wa kufunga Mkutano  wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika

 Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Machel  akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani Nchini ,Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya  kufunga Mkutano  wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
   Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki  Mkutano  wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika
 Waziri Mkuu wa Zamani Nchini ,Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza jambo na Mwanaharakati wa siku nyingi Getrude Mongela  wakati wa Kufunga Mkutano  wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika 
 Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki  Mkutano  wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam anakwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika

Post a Comment

Previous Post Next Post