GRACA MARSHEL ATAMBELEA WAJASILIMALI WALIOJUMUIKA KATIKA MKUTANO WA WOMEN ADVANCING AFRICA

 Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Marshel  akiangalia moja ya bidhaa za Wanawake wa Kitanzania ambao wameshiriki maonyesho wakati wa mkutano wa  Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii(Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam
  Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Marshel   akizungumza  na Mkurugenzi Tamic Company Limited Jacqueline Baruti  wakati alipotembelea banda lake katika Mkutano wa Women Advancing Africa

  Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Marshel   akiangalia moja ya bidhaa zinazozalishwa na wajasilamali wa Tanzania

  Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Marshel   akitazama bidhaa zinazozalishwa na kampuni ya Masaimara Gardening Co Ltd , Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Murwa Kihore akimuonyesha bidhaa zinazozalishwa .
 Mke wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca  Marshel  akiangalia banda la Women Advance in Africa 

Post a Comment

Previous Post Next Post