Friday, August 4, 2017

KUBENEA ATOA MILIONI 20 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA ZAHANATI KILUNGULE

 Mbunge wa Ubungo ,Saed Kubenea  akihuomtubia wakazi wa Kimara kata ya Kilingule wakati wa mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo na kushukuru wapiga kura wake kupitia mkutano huo Ambapo alihadi kutoa Milioni 20 za Mfuko wa jimbo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika kata hiyo
 Wananchi wa kata ya Kilingule Kimara jijini Dar es Salaam wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea katika mkutano wake wa hadhara
 Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akizungumza na mmoja wa wazee Maharufu wa kata ya Kilingule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo
 Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo
 Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Saed Kubenea akifurahi na wakazi wa kata ya Kilungule mara baada ya kumaliza kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika eneo hilo

 Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akifatilia mkutano wa Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Kimara Kilungule


No comments:

Post a Comment

MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA NI TISHIO KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO NCHINI

                         Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Serikali imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa ...