Friday, August 4, 2017

TMF NA HIVOS KENYA YAFUNGUA MAFUNZO YA MIEZI SITA YA NISHATI JADILIFU KWA WANAHABARI TANZANIA

 Muwezeshaji kutoka Tanzania Media Foundation Dustun Kamanzi akizungumza na Waandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo ya uandishi Nishati Jadilifu
  Mwandishi Mwandamizi Alan lawa  akizungumza jambo wakati wa majadala uliokuwa ukiendelea katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TMF na Hivos Kenya
 Muwakilishi wa Hivos Kenya , Maimuna Kabatesi akizungumza juu ya Hivos  Kenya katika kusaidia masuala ya mabadiliko ya Tabia nchi
 Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi
 Mjumbe wa bodi ya Terea Godwin Msigwa akiwa pamoja mwandishi wa DW Hawa Biolga wakati wa ufundishaji wa makundi katika mafunzo hayo
 Waandishi  walioshirikikatika mafunzo hayo wakijadili jambo wakati wa kazi za makundi

No comments:

Post a Comment

LUKUVI AKABIDHI HATI ZA KIMILA 2100 KATIKA KIJIJI CHA NYANGE WILAYA YA KILOMBERO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii , Kilombero Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaonya wale wote watakao ch...