WADAU WA NISHATI KUTOKA UMOJA WA ULAYA NA TANZANIA WAKUTANA KUJADILI MFUMO WA NISHATI KATIKA MAJENGO MAKUBWA NCHINI


 Mtoa mada kutoka Mradi  wa Matumizi bora ya Nishati katika Majengo Makubwa  Kutoka Umoja wa Ulaya,Margareta Zidar  akizungumza na Wadau wa Nishati katika semina Maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Ulaya kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Madini juu ya Matumizi ya Nishati katika Majengo Makubwa.
 Mtoa mada kutoka Mradi  wa Matumizi bora ya Nishati katika Majengo Makubwa  Kutoka Umoja wa Ulaya, Lena Lampropoulou, akizungumza na Wadau wa Nishati katika semina Maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Ulaya kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Madini juu ya Matumizi ya Nishati katika Majengo Makubwa.

 Wadau mbalimbali wa Masuala ya Nishati katika Majengo Makubwa wakiwa wanafatilia mada katika Semina hiyo ya Nishati katika Majengo Makubwa
 Wadau kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Tasisi Binafsi wakifatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano huo muhimu kwa ajili ya Nishati za Mjengo Makubwa

  Wadau kutoka Wizara ya Nishati na Madini  na Tasisi Binafsi wakifatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano huo muhimu kwa ajili ya Nishati za Mjengo Makubwa

 Wadau  wa Masuala ya Nishati ya Majengo Makubwa kutoka nchini Tanzania na Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya wakiwa katika picha ya Pamoja mara baada ya ufunguzi wa Semina yao ya masuala ya Nishati katika Majengo Makubwa iliyofanyika Serena Hotel Dar es Salaam

Post a Comment

Previous Post Next Post