WATANZANIA WATAKIWA KUSHIRIKI MCHEZO WA KUBAHATISHA WA TATU MZUKA


Muwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ,Daniel Wilson akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa habari na Bhati nasibu ya Tatu Mzuka na kuwasii watanzania kutumia nafsi hya kushiriki katika mchezo huo ambao unaanzia kwa shilingi 500
Mratibu wa Mawasiliano wa Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga, aakizungumza hadi shilingi  na Waandishi  juu faida za mchezo huo na namna ya kucheza na kufanikiwa kupata Milioni 30
Balozi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka  , Mc Ray Maharufu kama Chikunde  akizungumza juu ya yeye kuhusishwa na kampuni inayoendesha mchezo huo wa Tatu Mzuka
Waandishi wa habri walioshiriki katika Mkutano huo na Waandishi wa habari na Kapmuni ya mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka

Kiongozi kutoka Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka , Mudy B akizungumza na Waandishi wa habri namna ya kushiriki kupitia simu zetu za Mkononi






Post a Comment

Previous Post Next Post