Kiongozi msaidizi wa HDIF Joseph Manirakiza akifungua rasmi mshindani hayo ya mwisho kwa timu 12 za Madkatari wanafunzi wanaoshindanishwa ili kupata timu 10 zitakazo pata seed fund toka HDIF.
Timu ya Afya Plus ikitoa huduma ya kufanya Vipimo vya urefu, uzito BP na Kisukari katika eneo la tukio.
Moja ya timu zilizofika fainali toka mchakato huu ulipoanza na mawazo zaidi ya 350 mpaka kufikia 12 iliyoingia fainali