Monday, December 18, 2017

KUMBILAMOTO AKABIDHI PIKIPIKI KWA KUNDI LA VIJANA WAJASILIAMALI VINGUNGUTI

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akizungumza na Wakazi wa Vingunguti juu ya namna alivytokeleza ahadi zake kwa kata hiyo alizohahidi wakati wa uchaguzi kablaya kuchaguliwa katika kipindi cha Miaka miwili iliyopita
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akikabidhi pikipiki kwa kikundi cha Vijana wajasiliamali kinachojulikana kwa jina la Watoto Pori hili iweze kuwasaidi akatika kutunisha mfuko
 Kundi la Vijana wajasilimali wa Kata ya Vingunguti lijulikanalo kama Watoto pori wakifurahi mara baad aya kupokea pikipiki yao aiana ya Boxer kutoka kwa  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto
Wananchi waliofika katika mkutano wa  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto alipokuwa akitoa maelezo ya nini amefanya ndani ya Miaka miwili na kukabidhi pikipiki kwa watoto pori

No comments:

Post a Comment

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA DUNIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemkabidhi bendera ya t...