Friday, January 27, 2017

DIWANI FELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA UKATILI WA WANAWAKE NA WATOTO

 Diwani wa Kata ya Sandali, Abel Tarimo (wa pili kulia) akimkaribisha mgeni Rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule na Mkurugezi wa  Yamoto Bend, Said Fella (kulia) wakati akiwasili katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni yaTunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
 Diwani wa Kata ya Kulungule, Saidi Fella
 Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo akizungumza jambo katika hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam jana kabla ya ufunguzi huo.
 Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo akisalimia wananchi na kutambulisha viongozi meza kuu
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma ya Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kushoto) akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo. 
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akicheza na nyoka wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo.
Nyoka
 Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo (wa pili kushoto) akizungumza jambo wakati wa  hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam  kabla ya ufunguzi huo  na kupata nafasi ya kumkaribisha mgeni rasmi, kuanzia kulia ni  Afisa Maendeleo Kata ya Sandali, Anuciatha Kayombo,  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na kushoto ni Diwani ya Kata ya Kilungule, Said Fella
Mgeni rasmi, Diwani ya Kata ya Kilungule Saidi Fella (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto, wakwanza kulia ni  Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo na  Diwani wa Kata ya Sandali,  Abel Tarimo
Diwani Fella katika picha ya pamoja na kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa akisalimiana na Diwani Kata ya Sandali Abel Tarimo
 Mkurugenzi wa Kikundi cha ngoma cha Hisia Theater Group, Hamisi Kussa (kulia) akisalimiana na Mgeni rasmi ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilungule, Saidi Fella
Kikundi cha wacheza ngoma cha Hisia wakitowa burudani wakati wa hafla ya  ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto uliofanyika Kata ya Sandali Dar es Salaam
Msanii wa Yamoyo Band akitowa burudani katika hafla hiyo

Wapiga ngoma wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  awa kivutio katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Mcheza Sarakasi wa Kikundi cha Hisia, Omary Said akitowa burudani ya mchezo wa Yoga katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto
Wananchi wakifuatilia kwa umakini
Msanii wa Kikundi cha ngoma cha Hisia, Theo Leonald  akionyesha umahiri wake katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto


Afisa Msajili Cecilia Nyandindi (kushoto) akiendelea na kusajili wananchi wanaopinga Ukatili wa wanawake na watoto
Baadhi ya wasanii wa Sarakasi wa Kikundi cha Hisia  wakizunguuka mfano wa tairi wakati wa ufunguzi wa hafla ya Kampeni ya Tunaweza inayopinga ukatili wa wanawake na watoto,
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MASAUNI MKOANI RUKWA ATEMBELEA IDARA ZILIZOPO CHINI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIMkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelote Stephen akitoa taarifa ya mkoa na ya vyombo vya usalama wa mkoa huo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia), wakati wa ziara ya Naibu Waziri kutembelea idara zilizopo chini ya wizara yake.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizar ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelote Stephen mara baada ya kumaliza kupokea taarifa ya mkoa na ya vyombo vya usalama wa mkoa huo wakati wa ziara ya kikazi mkoani hapo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Naibu Waziri wa Wizara  ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza mkoa wa Rukwa kwa ziara ya kikazi.Kulia ni wakuu wa jeshi hilo mkoani hapo  wakimsikiliza. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Afisa Uhamiaji Mkoa wa  Rukwa, Kamishna Msaidizi Selemani Kameya akisoma taarifa ya utendaji kazi ya Mkoa huo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, ACP George Kyando akizungumzia Mradi wa Ujenzi wa ofisi wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni alipotembelea jengo hilo kuona maendeleo ya mradi huo na kuwataka kutumia rasilimali watu ya wafungwa waliopo mkoani hapo ili kuweza kukamilisha ujenzi huo wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya mkoani hapo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea risala kutoka kwa askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Rukwa aliyoisoma kwa niaba ya wenzake ikiwa na maombi mbalimbali yaliyoelekezwa kwa wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simiyu, Paul Mzindakaya baada ya kumaliza kupokea taarifa ya hali ya usalama mkoani Rukwa wakati Naibu Waziri alipokuwa mkoani humo kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WATAKIWA KUWA WAADILIFU

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango ,Amina Khamis Shaban amesema hakuna sababu yoyote ya T...