Saturday, June 24, 2017

KUMBILAMOTO AFUTURISHA KIJIJI CHA KAUZENI KISARAWE


 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti ,Omary Kumbilamoto akizungumza wakati akiwakaribisha wakazi wa kijiji cha Kauzeni Wilaya ya Kisarawe  katika Dua na futari aliyoiandaa kwa ajili ya wana kijiji hao katika kipindi cha mwezi hu mtukufu wa Ramdhani
 Bondia wa Zamani na Bingwa wa Dunia katika uzito wa kati ,Rashid Matumla akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kauzeni kabla ya futari  iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa Ilala.
 Sehemu ya wadau walioshiriki kisomo cha kuwaombea Marehemu wa Kijiji cha Kauzeni Wilaya ya Kisarawe
 Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Kauzeni akisoma majina wakati wa Dua ya kuwasomea ndugu zao waliotangulia mebele ya haki
 Wazee na viongozi wa dini wa kijiji cha Kauzeni Wilayani Kisarawe wakioma dua kabla ya futari iliyoandaliwa na Naibu Meya wa jiji Omary Kumbilamoto
 Sehemu ya Wanakijiji wa kijiji cha Kauzeni wakipata futari ya pamoja na iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala
 Sehemu ya Wanakijiji wa kijiji cha Kauzeni wakipata futari ya pamoja na iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala
Sehemu ya Wanakijiji wa kijiji cha Kauzeni wakipata futari ya pamoja na iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala

Friday, June 23, 2017

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WADAU WAKE KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu ,Irenius Ruyobya akizungumza katika kikao cha wadu wa Takwimu ikiwa nai sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma  katika ofisi za taifa za Takwimu jijini Dar es Salaam
 Mwakilishi wa Repoa , Lulu Olan'g akichangia jambo katika kikao cha wadau wa Takwimu kilichofanyika katika ofisi ya Taifa ya Takwimu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
 Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu ,Irenius Ruyobya,akiongoza kikao cha wadau wa Takwimu katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma
Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu ,Irenius Ruyobya, akiwa katika picha ya pamoja na wadau walioshiriki kikao cha Takwimu katika wiki ya mahadhimisho ya Utumishi wa Umma.

WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora , Angela Kairuki akizungumza na wadau wa Takwimu wakati wa Semina ya upatikanaji  wa Takwimu huria  katika ofsi za Serikali  iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH  Kijitonyama , ambapo wadau wa takwimu walijadili umuhimu wa Takwimu Huria  ili kuwawezesha wananchi  kupanga maendeleo yaokulingana na takwimu halisi.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) , Dkt. Albina Chuwa  akizungumza wakati wa Semina ya Takwimu huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo wadau wa Takwimu walipata kujadili umuhimu wa upatikanaji  wa Takwimu huria katika ngazi mbalimbali

 Mkurugenzi wa Usimamizi wa huduma za Umma na Utendaji  kutoka Benki ya Dunia nchini, Jim Brumby akizungumza na wadau wa  takwimu juu ya umuhimu wa upatikanaji  wa takwimu huria katika kupanga mipango ya maendeleo.
 Mkurugenzi wa shughuli za kitakwimu nchini kutoka Ofis ya Taifa ya Takwimu a,Irenius Ruyobya akitoa neno la shukrani kwa wadau waliofika katika semina  ya Takwimu huria iliyofanyika  katika ukumbi wa COSTECH Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wadau kutoka sekta za serikali na binafsi walioshiriki katika Semina hiyo
Mtaalamu mkuu wa Utawala kutoka Benki ya Dunia Tanzania , Verena Luise   akizungumza wakati wa Semina hiyo kwa wadau wa Takwimu huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi  Mkuu wa Twaweza nchini ,Aidan Eyakuze akionyesha ni jinsi gani watanzania wachache waliotembelea Takwimu huria na nini kinahitajika hili kila mtu aweze kuzifikia hizo Takwimu.
 Mshauri Mwelekezi wa Takwimu huria ,Rose Aiko  akizungumza juu ya umuhimu wa Takwimu huria kwa wadau walioshiriki semina  hiyo katika ukumbi wa CSOTECH Kijitonyama.
Sehemu ya Washiriki wa semina ya Takwimu huru wakiwa wanasikiliza kwa Makini

Thursday, June 22, 2017

MANISPAA YA ILALA YAHAMIA UWANJANI KUWAHUDUMIA WANANCHI KATIKA KUHADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza na mmoja wa wazee waliofika kupatiwa huduma katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo ofsi nzima ya Manispaa hiyo zimeahamia hapo kwa ajili ya kuhudumia wa tu kwa wazi ikiwa ni sehemu ya mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma katika wilaya hiyo.
 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogoro akiwa na Naibu Meya wa Manispaa hiyo Omary Kumbilamoto wakitoa huduma kwa wadau waliofika kutaka msaada juu ya mambo yanayowakabili . Manispaa hiyo zimeahamia hapo kwa ajili ya kuhudumia wa tu kwa wazi ikiwa ni sehemu ya mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma katika wilaya hiyo.
Mkurugenzi  wa Manispaa ya Ilala Msongela Palela akimuhudumia mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya mnazi mmoja Manispaa hiyo zimeahamia hapo kwa ajili ya kuhudumia wa tu kwa wazi ikiwa ni sehemu ya mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma katika
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wakilishi wa kampuni ya kkuza vifa vya kuzimia moto inayojulikana kwa jina la Zima Moto  
 Afisa mkaguzi  Msaidiz wa jeshi la Zima Moto , akitoa maelezo kwa  Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema wakati wa maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya watumishi wa Manispaa ya Ilala ambo wanatoa huduma kwa wananchi katika Viwanja vya mnazi mmoja 

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA ELIMU KWA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa Mkutbi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wadau  wa Takwimu waliotembelea maonyesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyofanyika nje ya ofisi ya Taif y Takwimu jijini Dar es Salaam ambapo ofsi hiyo utoa elimu kwa wadau na wakazi wote wa jiji ambao upta fursa ya kukuta na wataalam mbalimbali kutoka ofsi hiyo
 Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa Mkutbi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Royola ya Jijini Dar es Salaam ambao walifika katika eneo hilo kwa ajili ya kujifunza masuala ya takwimu
 Mtakwimu, Jovitha Rugemalila akiwa Mkutbi wa Nilam Mgassa kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakitoa elimu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Royola ya Jijini Dar es Salaam ambao walifika katika eneo hilo kwa ajili ya kujifunza masuala ya takwimu
Mtakwimu, Jovitha Rugemalila , akitoa elimu ya masula ya Takwimu kwa mmoja wa wadau wa Takwimu waliofika kujifunza katika maenyesho ya wiki ya utumishi wa Umma ynayofanyika mbele ya ofsi hiyo y barabara ya kivukoni Jijini Dar es Salaam

MAANDALIZI YA EID KARIAKOO YA FURIKA WAZAZI NA WATOTO

 Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akiwa amempakia mwanawe katika baiskeli huku wakifanya Manunuzi ya vitu kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid  El Fitri kama walivyokuwa katika mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
 Mchuuzi wa miwani na Saa za watoto akimajribisah mmoja ya mtoto aliyeongozana na Baba yake kufnya manunuzi katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
 Wanawake wakichagua nguo za watoto wao wa kike ambazo zimemwagwa chini katika barabara ya mtaa wa Congo katika soko kuu la jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
 Mzazi akimjaribisha nguo mtoto wake wa kiume kutoka kwa wamachinga wa soko la Kariakoo kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
 Wanawake wakiwa wanachgua  viatu vya kuvaa  kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
Sehemu ya umatai wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam 

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 NaibuKatibuMkuuWizaraya Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikaMashariki, BaloziRamadhaniMwinyi,akizungumzanawaandishiwahabariwakatiwaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre,  jijini Dar esSalaam.
 MratibuwaMashirikayaUmojawaMataifa (UN) nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez,akizungumzawakatiwaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre jijini Dar es Salaam.
 WasaniiambaoniwakimbiziwaliokokatikakambiyaNyarugusumkoaniKigoma, wakiburudishawageniwaliohudhuriaSikuyaMaadhimishoyaWakimbiziDunianiiliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre jijini Dar es Salaam
 Wasaniiwakundi la Mpoto Theatre, wakiigiza igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani, igizo hilo lilihusu mauaji yanayotokea nchi mbalimbalizilizoko kwenye vita  ambapo   hupelekea wananchi wake kukimbilia nchinyingine nakuomba hifadhi ya ukimbizi. Maadhimisho hayo yamefanyika katikaukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.


Na AbubakariAkidaNaibuKatibuMkuuWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Balozi Ramadhani Mwinyi, amesemaSerikaliitaendeleakutoahudumakwawakimbiziikishirikiananamashirikambalimbaliyandaninanjeyanchi,hukuakiziombanchizenyemachafukokukaanakutatuachangamotozinazopelekeawatukukimbianchizao.
AkizungumzawakatiwakuadhimishaSikuyaWakimbiziDuniani,iliyofanyikakatikaukumbiwa Little Theatre jijini Dar es Salaam BaloziMwinyialisemaSerikaliya Tanzania imekuwaikisaidiamasualayawakimbizikutokaawamuya kwanza yaMuasisiwaTaifanaRaiswa Kwanza,Mwalimu Julius Nyerere,ikiwepokuwapahudumazaafyanaelimuiliwawezekutimizandotozaowalizokuwanazokablayakuzikimbianchizaonakwambaikiwaleotunaadhimishasikuyawakimbizidunianilazimawotetudhamiriekumalizatatizohili.
“Tuungenguvuyapamojakuhakikishatunamalizamigogorokupitianjiayamazungumzoilituwezekumalizatatizo la wakimbiziduniani, natushirikiane nan chi zinazohifadhiwakimbizi, mashirikayakimataifatukijuajukumu la kutatuachangamotohiiniletu,”alisemaBaloziMwinyi
Akizungumzakwenyemaadhimishohayo, MratibuwaMashirikayaUmojawaMataifa (UN) nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez, alisemaUmojawaMataifakupitiaShirika la UmojawaMataifa la  KuhudumiaWakimbiziDuniani(UNHCR) limekujanamkakatimaalumuwakuwahudumiawakimbizi nan chi zinazohifadhiwakimbizi(CRRF),lengoikiwanikukabiliananachangamotozakimaendeleozinazowakabiliwakimbizikatikamakambimbalimbali.
NayeMwakilishiwa UNHCR Tanzania,ChansaKapayaalisemashirika lake litaendeleakushirikiananaSerikaliya Tanzania katikakuhakikishawakimbiziwanaendeleakupokeamisaadamuhimuyakibinadamu,katikamazingiraambayoyanawaruhusukuishikwausalamanahadhi.
Tarehe20 mweziJuniduniainaazimishaSikuyaWakimbiziDunianihukuikikadiriwakilabaadayasekundeishirinimtummojahukimbianchiyakenakuachafamilia, nyumbanamaliakikimbiamachafuko, migogoronaainambalimbalizauhalifukwabinadamunakundilinaloathirikazaidiniwatotowadogowanaokadiriwakuwawengikatikaidadiyajumlaya65.6milioni yawakimbiziduniani.
 
 Wednesday, June 21, 2017

MAALIM SEIF AONGOZA ARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA

 Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiongoza Arambee ya uchangiaji wa Madrasa  Kiwalani Temeke jijini Dar es Salaam ampapo aliwezesha kupatika kwafedha zaidi ya Milioni 7 kwa ajili ya ununuzi wa kiwanja kipya cha Madrasa hiyo

Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita  akizungumza wakati alipokuwakitoa ahadi yake ya Milioni moja kwa ajili ya Madrasa hiyo na aliweza kuwasilisha shilingi laki tano papo hapo na kuongeza ahadi ya bati 70 na mifuko 50 ya Saruji.


Diwani wa  Kata Mianzini , Kassim Mshamu ambaye ndio mlezi wa Madrasa ya Muunin Islamiya akiwakaribisha wageni katika arambee yakuchangia madrasa

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akikabidhi mchango wake wa shilingi laki tatu katika rambee ya kuchangia Madrassa ya  Muumini Islamiya iIliyopo kiwalani Dar es Salaam
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akikabidhi mchango wake kwa  Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kwa ajili ya  Muumini islamiyaSheikh Anuary Jongo  akitoa  Darasa juu ya waslamu na umuhimu wa kuchangia nyumba za ibada hili waweze kujenga ukaribu na Mungu hasa katika kumi hili la mwisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani
 Sehemu ya washiriki wa arambee hiyo wakipata futari iliyoandaliwa na Madrasa Muumin Islamiya
  Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiteta na Mkurugenzi wa uchaguzi wa Chama Cha Wananchi CUF , Shaweji Mketo
 Sehemu ya watoto wa Madrasa ya Muumini Islamiya  wakipata futari mara baada ya kumalizika kwa arambeehiyo


 Vijana wa Kiislamu wakitoa Nashid kwa ajili ya kuleta burudani kwa watu waliofika katika arambee hiyo

sehemu ya vijana wa Madrassa ya Muumin Islamiya wakinyosha mikono wakati wa utambulisho

TASISI YA HUMANITY ACTION FOR CHILDREN FOUNDATION YATOA VIFAA KWA WALEMAVU

 Mwanzilishi wa Tasisi ya Humanity  Action For Children Foundation , Rahma Mohamed Abdalah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa ...