Saturday, July 8, 2017

TFS YATANGAZA FURSA ZA UFUGAJI NYUKI NA MAZAO YA MISITUMtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini'TFS', Prof ; Dos  Santos Silayo  akiwa katika banda la TFS na Familia yake katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam ambapo aliweza kukagua namna ya shughuli za Tasisi hiyo zinavyofanywa .

Afisa  Ufugaji Nyuki kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mwanahamisi Mapolu   akizungumza na wawekezaji kutoka Oman waliofika katika  banda la TFS cujus ni aina gani ya Asali zinapatikana niching
Mjumbe wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) , Sauda Kilumanga akipata maelezo kutoka kwa Afisa Ufugaji Nyuki kutoka TFS, Mwanahamis Mapolu wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Mjasiliamali kutoka Viana Kushoba wanaotengeneza Mashine ya make Mbadala akiwapa make wakazi wa jiji waliomtembelea katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba na kununua mkaa huo ambao ni rafiki wa mazingira na unazuia ukataji miti hivyo kusaidia katika kulinda misitu yetu.
Afisa ufugaji Nyuki wa Shamba la miti la serikali la Sao Hill linalomilikiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Said Abubakary  akionesha waandishi wa habari moja ya malighafi inayotokana na misitu katika kutengeneza vipodozi vya aina mbalimbali

TASWIRA YA MAONESHO YA SABASABA

 Mimosa wa wakes wa jiji la Dar es Salaam akiwa katika Viwanja vya Sabasaba na mizigo ya mabeseni akiwa ametoka kununua mara baada ya kufunguliwa kwa gulio rasmi  la uuzaji maak tarehe 13

 Wazee kama wanavyonekakana pichani wakiwa na mzigo wa beseni wakijivinjari ndani ya Viwanja vya Maonesho ya Sabasaba
 Mimosa wa watoto akita juu ya farasi ndani ya Viwanja via Maeonesho ya sabasaba watoto wengi utumia farasi huyo kw ajillo ya kupiga picha k
 baadhi ya watt wakitoka ndani ya nyumba ya kabila la wagogo iliyopo ndani ya banda la Maonesho ya Wizard ya Maliasili na utalii nchini

OSHA YATOA ELIMU YA AFYA MAHALA PA KAZI NDANI YA MAONESHO YA SABASABA

 Maofisa wa Wakala wa Uslama na Afya Mahala pa kazi 'OSHA', Maria Ndaskoy na Eleuter Mbilinyi  wakizungumza na wateja namna Wakala huyo anavyofanya kazi kwa ajili ya kuwasaidia wafanyakazi katika masuala mbalimbali.
 Afisa Afya wa Wakala wa Uslama na Afya Mahala pa kazi 'OSHA',Amina Nangu akimpima uzito mmoja wa watu waliofika kupata huduma kutoka kwa wakala huyo katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba
fisa Afya wa Wakala wa Uslama na Afya Mahala pa kazi 'OSHA',Amina Nangu akichukua maelezo ya mmoja wa watu waliofika kupata huduma kutoka kwa wakala huyo katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba

NIDA YAFURIKA WAKAZI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA


 Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi  hati  kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa 'NIDA' ,Rose Mdami  akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam aliyefika kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa katika banda lao lililopo  katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba
  Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)  ,Agnes Gerald  akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali  waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
 Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta  wa NIDA,Daniel Katondo akizungumza na wateja waliofika katika banda lao kujua taharifa zao zilizopo kwenye vitambulisho vya Taifa
 Folerni ya watu wanaokwenda kuchukua vitambulisho  vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba yanaoendelea mpaka tarehe 13 mwezi huu
  Folerni ya watu wanaokwenda kuchukua vitambulisho  vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba yanaoendelea mpaka tarehe 13 mwezi huu
 Maofisa wa NIDA wakiendelea na zoezi la upigaji picha kwa watu ambao wanahitajika kupata vitambulisho vya Taifa katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba

--

WATU WAZIDI KUMIMINIKA KUJIUANGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF

 Afisa Sheria wa PPF, Nyambilila Ndomboka akizungumza na moja ya wateja walikuja kuhitaji kujua namna gani kama familia watafaidika na Pensheni za mfuko huo wa hifadhi ya Jamii katika Maonyesho ya 41 ya Sabasaba
 Afisa Uhsuiano Mwandamizi wa PPF,Janet Ezekiel  Amulekeza mteja namna atakavyoweza kuangalia michango yake kwa njia ya simu pasipo kufika ofsini hili kumrahisishia kujua mpango wa Pensheni zake
 Afisa Utafiti wa PPF, Elaine Maro  akizungumza na mteja aliykuja kuchukua fomuya kujiunga na mfuko huo wa Pensheni
 Maofisa wa PPF wakiendelea kuhudumia na kutoa elimu ya mafao kwa wateja mbalimbali waliofika katika banda hilo
Muonekano wa nje wa banda la PPF na jisni watu walivyojaa kwakisubiri huduma ya kujiunga na mfuko huo katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba

WAZIRI MAUDLINE WA ZANZIBAR AVUTIWA NA KAZI ZA JKT KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Kaimu Afisa Habari wa Jeshi La Kujenga Taifa (JKT),Kanal Separatus Lubinga  akitoa maelezo kwa Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba
 SSGT. Faustine Mabata kutoka Suma JKT Furniture akitoa maelezo kwa Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba

 CPL.Maximilian Joseph wa SUMA JKT Guard  akitoa maelezo kwa Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba
  SSGT. Faustine Mabata kutoka Suma JKT Furniture akitoa maelezo kwa Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba
 Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico  akiangalia namna ya ufugaji Samaki kwa kutumia mfumo Raisi alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba
Waziri wa kazi, Uwezeshaji, Wazee ,Vijana na Maendeleo kwa watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maudline Cyrus Castico alipotembelea Maonesho ya 41 ya Sabasaba

Friday, July 7, 2017

RC MAKONDA AHAHIDI KUPELEKA WANAFUNZI 50 NGORONGORO WATAKAOFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA MOCK

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akipokelewa na Msani Mrisho Mpoto katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba ambapo kupita banda hilo mkuu wa mkoa amehahidi kuwapeleka wanafunzi 50 wa mkoa wa Dar es Salaam bonde la hifadhi ya Ngorongoro
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akiasalimaina na Watendaji wa Ngorongoro  katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akisaini katikabu cha wageni katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda  akiteta na  Msani Mrisho Mpoto banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
 Msani Mrisho Mpoto, akizungumza na wadau waliofika katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda, akikabidhi zawadi kwa watoto waliojibu maswali vizuri juu ya hifadhi ya Ngorongoro
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makondaakikabidhi zawadi kwa watoto waliojibu maswali vizuri juu ya hifadhi ya Ngorongoro
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Paul Makonda akizungumza na wakazi wa jiji la Dar es Salaaam waliofika katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba

 
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ,Paula Makonda katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
 Kikundi cha Sarakasi kikitoa burudani kwa wadau waliofika  katika banda la Elimu kwa Umma la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro katika Maonesho ya Sabasaba
 Wasanii wa kundi la Mjomba Band wakiwa wanacheza kwa mtindo wa Salute Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda


Thursday, July 6, 2017

MAKAMU WA RAIS ASIFU UTENDAJI WA PROPERTY INTERNATIONAL KATIKA UPIMAJI WA VIWANJA

 Maamu wa Rais Samia Suluhu Hassanakiwasili katika banda la Property International katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo
 Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Property International Abdul Haleem wakati akiwasili katika banda la Property International katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International, Abdul Haleem, kuhusu Ndege ya Kampuni hiyo inayopiga picha za juu kwa muda mfupi wakati wa upimaji wa Viwanja (Unmanned Ariel Vehcle As 1200)  wakati Makamu wa Rais alipotembelea Banda la Maonyesho la Kampui hiyo kwenye Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam
  Mkurugenzi Mtendaji wa Property International Abdul Haleem akitoa maelezo kwa  Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan
 Mkurugenzi Mtendaji wa Property International Abdul Haleem akitoa maelezo kwa  Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan
 Mkurugenzi Mtendaji wa Property International Abdul Haleem  akiagana na  Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na wataendaji wakuu wa Property International

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBLE BAND LA MAONESHO LA TIB

 Afisa Uhusiano wa TIB ,Cooparate Bank, Theresia Soka, akimkaribisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika banda la TIB wakati kiongozi huyo alipotembelea Maonyesho ya 41 ya Sabasaba

  Afisa Uhusiano wa TIB ,Cooparate Bank, Theresia Soka akimuonyesha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassankitengo cah TIB Rasilimali na kumueleza namna kinavyofanya kazi
 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Wheel Cover kutoka TIB Cooparate Bank
Mweneyekiti wa Amir Amza (T) Ltd  akitoa maelezo  kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ya namna kiwanda caheke kilivyofaidika na mikopo ta TIB
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Akisisitiza jambo kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Mvinyo ambayo ni Mshirika wa TIB katika Maonesho ya Sabasaba

BANDARI TANGA KUHUDUMIA SHEHENA YA NCHI SABA KWA KUTUMIA MPAKA MMOJA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Bandari ya Tanga inaelezwa kuwa bandari ya kipekee na ya aina yake barani Afrika inayoweza kuhudu...