Saturday, July 15, 2017

JKT YAICHAPA MABIBO VIKAPU 78 -38 KATIKA MCHEZO WA LIGI YA RBA

 Wachezaji wa JKT NA Mabibo  wakipena mikono katika mchezo wa Ligi ya mchezo wa Kikapu mkoa wa Dar es Salaam RBA
 Mchezaji wa Mabibo akijaribu kutupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
 Mchezaji wa timu ya JKT akitupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
 Mchezaji wa JKT na Mabibo wakiwania mpira katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
 Mchezo wa Mabibo akijaribu kuwatoka wachezaji wa JKT katika  mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
  Mchezo wa Mabibo kijaribu kutupa mpira nje ya D katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
 Mchezaji wa JKT akipiga  Danki kwenye ngome ya Mabibo k katika mchezo wao wa Ligi ya Mchezo wa Kikapu iliyofanyika ya mkoa wa Dar es Salaam RBA iliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam
 Mashabiki waliofika kushuhudia Mchezo huo


FEZA SCHOOLS YATOA ALIYEONGOZA KITAIFA KWA WAVULANA ARTS NA WATATU KITAIFA KWA WASICHANA

 Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa amebebwa juu na wanafunzi wenzie wa shule hiyo mara baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika Masomo ya Arts na Biashara katika matokeo yaliyotangazwa na baraza la mitihani leo
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwasili shuleni hapo mara baada ya kutangazwa kuwa Mwanafunzi bora wa Masomo ya Arts na Biashara kitaifa kwa Wavulana
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake wote wawili ,Thomas Samky na Victoria Samky mara walipofika shuleni hapo
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakiwa katika picha ya pamoja wenye furaha mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana Feza mara baada ya matokeo kutoka ambapo Atganile amekuwa wa tatu kitaifa katika Masomo ya Sayansi na Kabhabhira amekuwa wa Saba katika masomo hayo.
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo wakilakiwa na walimu wao mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana feza walipokuwa wanasoma mara baada ya matokeo ya kidato cha Sita kutoka
 Mwanafunzi aliyefanya vizuri na kuwa wa tatu  katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,  Atuganile Cairo akiwa na Mama yake Mzazi  akimpongeza kwa kufanya vizuri katika mtihani huo wa kidato cha Sita
  Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakiangalia matokeo ya wanafunzi wengine kwenye simu mara baada ya kuwasili shule ya Wasichana Feza
 Wanafunzi waliofanya vizuri na kuwamo katika 10 bora ya wasichana waliofanya vizuri kitaifa ,Kabhabhira Bukuru na Atuganile Cairo  wakisalimiana na Mwalimu mkuu wa Shule ya Wasichana fedha ,Ibrahim Rashid pamoja na baba yake atuganile Jimmy Cairo

Friday, July 14, 2017

SUMAYE AKILI KATIKA UONGOZI WAKE KUWA VIWANDA VILIKUFA Waziri Mkuu Mstaafu ,Fredrick Sumaye akizungumza na Waandishi wa habari juu ya utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano na kujikosoa yeye kuwa  katika utawala wake Viwanda vilikufa hivyo anashangaa kuona Rais Magufuli akiviamsha kama uyoga
 Sehemu ya Viongozi wa kanda ya Pwani wa CHADEMA wakifatilia mkutano huo wa Waandishi wa habari
 Sehemu ya Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo na Waandishi wa habari

 Katibu wa CHADEMA kanda ya Pwani Juma Mabina akizungumza katika mkutano wake na Waandishi wa habri jijini Dar es Salaam leoSehemu ya Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo na Waandishi wa habariMSULULU WA WATU WAJAA KWENYE VITUO VYA MAFUTA VINAVYOTOA RISITI ZA TRA

 Baadhi ya Madereva Bodaboda wakiwa katika foleni ya  kituo cha Mafuta cha Total kilichopo Shekilango mara baada ya kukosa mafuta katika vituo vingine ambavyo vimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kosa la kutotoa risiti kwa wateja hivyo kuikosesha serikali mapato
 Foleni ya Magari inavyoonekana kwa nje ya kituo cha Mafuta cha TOTAl Shekilango jijini Dar es Salaam kutokana na baadhi ya vituo kufungwa kwa makosa ya kutotoa risiti za TRA
 Baadhi ya madereva wa Bodaboda wakiwa  wamekata tamaa mara baada ya kuona kuwa foleni kuwa kubwa
Madereva bodaboda wakiwa katika foleni ya kuweka mafuta

NMB YAZUNGUMZA NA WALIMU KATIKA SIKU YA WALIMU MKOA WA DAR ES SALAAM

Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na walimu wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam na benki hiyo uliofanyika Sinza
 Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini'TCU', Prof Eleuther Mwageni akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Walimu na Benki ya NMB wakati wa mkutano mkuu wa siku ya walimu na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi Mkuu wa wateja wadogo wadogo na wakati wa NMB,Abdulmajid Nsekela akizungumza na walimu juu ya huduma mpya za NMB ambazo zinaweza kuwasaidia katika kujiongeza kipato na kulea familia kwa uraisi.
 Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha walimu kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam


 Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na walimu wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam na benki hiyo uliofanyika Sinza
 Afisa Elimu na Vifaa Takwimu wa Wilaya ya Ubungo , Brayson Ephata  akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi mara baada ya kufungua mkutano wa NMB na siku ya Walimu mkoa wa Dar es Salaam
 Picha ya Meza kuu wakiwa wamesimama
  Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha walimu kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam
 Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini'TCU', Prof Eleuther Mwageni  akiondoka katika mkutano huo mara baada ya kufungua jijini Dar es Salaam leo

TAKUKURU YAMTIA MBARONI DIWANI WA CHADEMA KATA YA MSIGANI KWA RUSHWA

Diwani Kata ya Msigani, Ubungo, Israel Mushi ( 48 ) na Mrasimu ramani wa Manispaa ya Ubungo, Francis Mwanjela Peter ( 28 ) wamekamatwa na Tasisi ya kuzia na kupambana na Rushwa nchini 'TAKUKURU' Mkoa wa Kinondoni kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa  Sh.5,000,000/=.

kwa mujibu wa taharifa iliyotolewa na Mkuu wa  TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni Teddy Mjangira amesema kuwa Watuhumiwa walikamatwa Julai 12, 2017 baada ya kupokea kiasi hicho cha pesa toka kwa mwananchi ambaye jina lake limehifadhiwa na ambaye mbali na kutoa kiasi hicho cha pesa alitakiwa  na watuhumiwa kuwapa  rushwa ya Sh.10,000,000/=

Watuhumiwa walishawishi na kupokea rushwa ili waweze kutoa ushawishi kwa wajumbe wa kamati ya mipango miji  inashughulikia maombi ya kubadilisha michoro, kubadilisha matumizi ya kiwanja na kupitisha kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Ubungo.

Uchunguzi wa tuhuma unaendelea na Watuhumiwa ambao wanatuhumiwa kutenda makosa kinyume na kifungu namba 15 cha sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007 wamepewa dhamana.

Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni Bi.T. MNJAGIRA anawaasa Viongozi wote wa Umma, Wanasiasa na Watumishi wote wa Serikali, kuheshimu nyadhifa zao na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria bila kujihusisha na vitendo vya Rushwa. Pia, anatoa wito kwa  Wananchi wote kuendelea kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU kwa kuwafichua wale wote wanaojihusisha na  vitendo vya rushwa ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria, Kwa kufanya hivyo, tutakuwa tumezuia vitendo hivyo visiendelee kujitokeza katika Jamii

 

Wednesday, July 12, 2017

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM.


 Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia nafaka mbalimbali zinazolimwa katika mashamba ya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Askari wa Jeshi la Magereza, Happy Kweka, akiwaonyesha vitambaa vinavyotengenezwa na jeshi hilo wakazi waliotembelea Banda la jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea   katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
 Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia vikapu vinavyotengenezwa katika viwanda vya ufumaji vya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Kulia ni askari wa  jeshi hilo,Issah Ramadhan
 Askari wa Jeshi la Magereza, Stesheni Sajenti, Elizei Naje aliyepo sehemu ya mapokezi katika Banda la jeshi hilo akiwa amekaa kwenye moja ya samani (meza na viti) ambavyo hutengenezwa katika viwanda vya jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Samani zinazopatikana katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Samani zinazopatikana katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiIMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

SAFARI YA MWISHO YA MTANGAZAJI WA REDIO 93.7 EFM, SETH KATENDE MAARUFU BIKIRA WA KISUKUMA


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa mwili wa  Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni, likiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam
 MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa salamu zake kwa famila, ndugu na jamaa.
Baba wa marehemu, Mzee Katende (wa kwanza kushoto) akiwa ndugu zake marehemu wakiaga mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.
Mke pamoja na mtoto wa marehemu wakiaga mwili 
 MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar
 Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma  leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar
Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba(mwenye shati nyeusi) akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar
Mtangazaji waClouds FM Gardner G Habash akiaga mwili

Mtangazaji wa EFM, Mpoki 'Mwarabu wa Dubai'( katikati) akiwa ameshikiriwa mara baada ya kuanga mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

  

 

  Sehemu ya Waombolezaji wakiwa katika Viwanja Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.
 

 
 Baba wa marehemu, Mzee Katende akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuaga mwili wa kwanae Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma   leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar 


  


 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni, likiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...