Thursday, July 20, 2017

CHAMA CHA MADALALI CHA WAJIA JUU MADALALI WASIO JISAJILI KATIKA MFUMO WA KAMPUNI

 Katibu Mkuu wa Chama cha Wapangaji nchini Dumey Mukama akizungumza na Waandishi wa habari juu ya tamko lao la kupinga Madalali ambao awajasajiliwa katika mfumo wa kampuni ambao wamekuwa kero kwa wanachama wao.
 Mwanasheria wa Chama cha Wapangaji nchini, Pamela Kihumo akisisitiza jambo juu ya hatua watakazochukua kwa madalali wote ambao awajajisajiri katika mfumo wa makampuni katika kuendesha biashara ya upangishaji nyumba
 Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakiwa makini katika kuchukua taharifa hiyo kutoka chama cha Wapangaji ndani ya ukumbi wa idara ya haabari maelezo
Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakiwa makini katika kuchukua taharifa hiyo kutoka chama cha Wapangaji ndani ya ukumbi wa idara ya haabari maelezo

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA ALAT TAIFA JIJINI MBEYA

 Mwenyekiti wa Alat Taifa ,Gulamhafeez Abubakar Mukadam akizungumza na Waandishi wa habari juu ya Mkutano mkuu wa Alat Taifa unaotaraji kufanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao,  ambao Rais Dkt John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi ,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa akifuatiwa na Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga
 Kaimu Katibu Mkuu wa -Alat Abdallah Shaban akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo juu ya mkutano Mkuu wa Taifa wa Alat
 Makamu Mwenyekiti wa Alat ,Stephene Mhapa  akisisitiza jambo kwa Wandishi wa habari juu mkutano mkuu wa taifa utakao fanyika Jijini Mbeya Mwezi ujao Mwaka huu
  Diwani wa kata ya Maboga Iringa Veny Muyinga  akiwa katika mahojiano maalum na Mtangazaji wa kituo cha ITV Sam Mahela
 Waandishi wa haabri waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi wa iadara ya Habari Maelezo wakifatilia kwa makini
Waandishi wa haabri waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi wa iadara ya Habari Maelezo wakifatilia kwa makini

Tuesday, July 18, 2017

TSN Group Tanzania na MIMOSA CONCIERGE wasaini Mkataba leo Dar es salamTSN Group Tanzania, katika kuhakikisha inatoa huduma bora kwa wateja wake hapa nchini, imeingia mkataba na MIMOSA CONCIERGE inayotoa MIMOSA Black Card ambayo ni kadi maalum kwa wateja wanaofika kupatiwa huduma kupitia kadi hizo.
Meneja Masoko wa TSN, Jahu M. Kessy Pamoja na  Mkurugenzi Msiaidizi wa MIMOSA, Leonce Mongi wakati wa kusaini mkataba na MIMOSA CONCIERGE inayotoa MIMOSA Black Card ambayo ni kadi maalum kwa wateja wanaofika kupatiwa huduma kupitia kadi hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam, leo Meneja Masoko wa TSN alisema, Jahu M. Kessy amesema TSN imelenga kuongeza tija katika kutoa huduma zake.

“Tunarahisisha na kuboresha huduma zetu kuwa bora na za kisasa. Pengine huduma hii itapanua wigo wa wateja wetu watumiao Black Cards kwa Dar es salaam lakini kwa Mwanza TSN Hypermarket inakuwa kampuni ya kwanza kupokea na kukubali malipo kupitia Black card ya Mimosa. Hatua ambayo ni kubwa kuchukuliwa na TSN katika kuwajali wateja wake.”

“Sasa ukifanya malipo kupitia kadi ya Mimosa kwenye supermarket zetu na Petrol station unajiweka katika nafasi ya kushinda punguzo la zaidi ya asilimia 5 pamoja na kuponi ya zawadi wa kwateja watakao tumia kiasi cha shillingi laki moja kwa manunuzi ya mara moja,” alisema Jahu.
Akieleza zaidi juu ya huduma na faida wazipatazo wateja watumiayo kadi hizo, Mkurugenzi Msiaidizi wa MIMOSA, Leonce Mongi alisema kupitia kadi hii Mteja wa TSN hatapata tu punguzo la bei kutoka TSN pekee lakini pia atapata offer mbalimbali zitokanazo na kadi hiyo kupitia discount partners wengine ambao ni zaidi ya watoa huduma 71 Nchi Nzima. 

Jahu alisema TSN inajiimarisha katika kutoa huduma zake kwa wateja, kuwasikiliza na kuwasaidia, hivyo basi kuona umuhimu wa kuwapatia wateja wake wenye MIMISA black card nafasi ya kufanya malipo yao kwa uhuru na furaha.

Alisema,”hatua hii inafuatia hatua nyinginezo nyingi tulizochukua kuhakikisha wateja wa TSN wanafurahia huduma zetu, ikiwemo malipo kutupitia miamala ya simu, bank cheques, malipo ya dola na sasa pia kupitia Mimosa Black Card.
Leonce alisema kupitia kadi hii TSN itakuwa ikipokea malipo na kuongezaa tija kwa mteja, lengo ni kuhakikisha mteja mwenye kadi ya Mimosa hashindwi kufanya malipo yake akiwepo katika vionga vyao, na pia kufurahia ofa na punguzo mbalimbali zipatikanazo na mtangamano huu.

 “Teknolojia imeendelea kuwa kitovu cha maendeleo ya jamii yetu kwa kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi. Kukua kwa teknolojia katika nyanja mbalimbali za kiuchumi kisiasa na kijamii kumeendelea kuleta matokeo chanya siku hadi siku. Sambamba na kurahisishwa kwa utendaji kazi lakini pia upokeaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wa kawaida kumerahisishwa.” Alisema Jahu.
Katika kutambua fursa hiyo, TSN itaendelea kujidhatiti katika kuhakikisha kuwa huduma kwa wananchi zinaenda sambamba na mabadiliko hayo ya teknolojia.
Leonce aliipongeza TSN kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha inaweka urahisi kwa wateja wake na hiyo imekuwa ni chachu kubwa katika kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wao.

TRA YATOA SOMO KWA WAFANYABIASHARA WA KICHINA KUTOKA KARIAKOO

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala ,Sophia Mjema akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Wafanyabishara wa Kichina Kariakoo ulioandaliwa na Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) juu ya wajibu wao katika ulipaji kodi na nini cha kufanya hili wasiweze kusumbuliwa na Mamlaka husika
 Mwakilishi wa Balozi wa China aliyefika katika mkutano huo ,Yang Han Ting akizungumza wakati wa mkutano wa Wafanyabiashara wa Kichina juu ya umuhimu wa kulipa kodi ulioandaliwa na Mamlaka ya mapato nchini TRA
 Meneja Elimu kwa mlipa kodi kutoka Mamlaka ya mapato nchini (TRA), Diana Masalla akizungumza na Waandishi wa habri juu ya umuhimu wa mkutano huo kwa wafanyabiashara hao
 Katibu Tawala Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akifatilia kwa makini katika mkutano huo pamoja na Viongozi wengine wa Meza kuu
 Kamishana Msaidizi Mwandamizi Uhamiaji ambaye ndio Kaimu Afisa Uhamiaji -Ilala,Charles Washima akizungumza na Waandishi wa haabri juu ya Changamoto za Wafanyabiashara wa kigeni ambao ufika nchini kwa kufanya kazi tofauti na vibali vyao walivyopata
 Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Mapato nchini(TRA) wakiwa wanaendelea na kazi katika mkutano huo
 Sehemu ya wafanyabishara wakichina kutoka kariakoo ambao wameshiriki mkutano huo wakifatilia na kusikiliza kwa makini katika mkutano wao na TRA Mkoa wa Ilala
Mkuu wa Wilaya ya Ilala ,Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa kichina

WAZIRI MAKAMBA AFUTA WAJUMBE SABA WA BODI YA NEMC NA KUSIMAMISHA KAZI WATUMISHI WANNE

 Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba, Akizungumza na Waandishi wa Habari  juu mara baada ya kuvunja bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi ya Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kufanya mabadiliko katika uongozi huo kwa kuwasimamisha kazi Viongozi wanne.
 Waandishi wa Habari  waliohudhuria mkutano huo wa kuvunja bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi ya Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kufanya mabadiliko katika uongozi huo kwa kuwasimamisha kazi Viongozi wanne na Waziri January Makamba.
Waandishi wa Habari  waliohudhuria mkutano huo wa kuvunja bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi ya Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kufanya mabadiliko katika uongozi huo kwa kuwasimamisha kazi Viongozi wanne na Waziri January Makamba.

Monday, July 17, 2017

KADA CCM ANZISHA KAMPENI YA MAGUFULI BAKI

 Kada wa Chama cah Mapinduzi kutoka Wilaya ya Sengerema ,Lawrence Mabawa akizungumza na waandishi wa haabri juu ya kapmeni yake ya Magufuli baki ambayo ameitambulisha kwa Wanahabari kuhusu kuanza kampeni ya kumshinikiza Rais Magufuli aendelee kusimamia misimamo yake katika kuongoza nchi na kuacha kuyumbishwa na maneno ya kwenye mitandao
 Afisa Habrai Idara ya Habari MAELEZO , Georgina Misama akimtambulisha Kada wa Chama cah Mapinduzi kutoka Wilaya ya Sengerema ,Lawrence Mabawa  kwa Waandishi wa Habari
 Sehemu ya Waandishi walioshiriki mkutano huo wakimsikiliza Kada wa Chama cah Mapinduzi kutoka Wilaya ya Sengerema ,Lawrence Mabawa  kwa makini
Sehemu ya Waandishi walioshiriki mkutano huo wakimsikiliza Kada wa Chama cah Mapinduzi kutoka Wilaya ya Sengerema ,Lawrence Mabawa  kwa makini
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.

Kada wa chama caha Mapinduzi (CCM) kutoka wilaya ya Sengerema Lawrence Mabawa ametangaza kampeni yake mpya itakayo kwenda kwa jina la 'MAGUFULI BAKI'.

Mabawa amesema kuwa Kama jinsi Watanzania na wasio Watanzania tunavyotambua kazi kubwa na nzuri ya kutetea na kupigania rasilimali za taifa inayofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa wananyonge na masikini Watanzania wote bila kujali jinsia, dini wa makabila kuchukuwa jukumu la kumpongeza na kumtia moyo Rais na Serikali yake na sii kumkatisha tamaa.

" Mimi kama Mtanzania mzalendo na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nimeamua kuchukuwa jukumu la kuanzisha kampeni ya ‘Magufuli Baki’ yenye lengo kumpongeza Rais kazi anayoifanyia kwa bila kujali itikadi zao. Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha Mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wanafunzi wa Sekondary na wananchi kwa kufanya mikutano yenye nia njema ya kumwomba Mhe. Rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea Watanzania wanyonge na masikini"Amesema Mabawa.

Amesema kuwa Kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kupitia mikutano tutakayoifanya ambapo wataweza kutoa maoni kuhusu utendaji wa serikali kwa ujumla ikiwa ni kupongeza na hata kukosoa.

ametaja kuwa hili kukamilisha kampeni hii tutatumia Kurasa za Mitandao ya Kijamii maalum ambazo zimeandaliwa kwa kampeni hiyo ambapo tutaweka maoni na pongezi za kila mshiriki wa kampeni hiyo. Mbali na kutumia mitandao ya kijamii tutashirikiana bega kwa bega na vyombo vya habari pamoja na wanahabari kufanikisha kampeni hii.

Ameongeza kuwa lengo la kampeni hii mbali na kompongeza Mhe. Rais na Serikali yake pia tutapata fursa ya kuwasikiliza wananchi moja kwa moja ili kugundua ukweli halisi kutoka kwao wa namna gani wanaona utendaji wa serikali ya awamu ya tano.


Sunday, July 16, 2017

diwani viti maalum wa vifaa vya madrassa

 Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh akizungumza na Waandishi wa haabri kabla ya kukabidhi Msaada wa Mashine za Kujifunia kwa watoto wasioona na Misaafu kwa ajili ya Madrasa ya Nuru Islamiya iliyopo katika Msikiti wa Mtemi jijini Dar es Salaam.
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh akikabidhi mashine ya kuchapia na karatasi zake kwa Mwalimu wa Madrasa amabye ana uoni hafifu ,Mohamed Katani kwa ajili ya kusaidia kufundishia atoto wasiona na kutafsiri juzuz  kwenda katika maandishi ya nukta Nundu hili walemavu wa macho wapate kujifunza dini kupitia mwalimu huyo
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh, akikabidhi Juzuu Maalum kwa Mwanafunzi mwenye matatizo ya macho,Shaviru Hamis  hili aweze kujifunza  kwa urasi masomo yake ya Madrasa
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka kwa  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh
  Diwani wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, Nuru Awadh, akikabidhi Misaafu na juzuz kwa ajili ya wanafunzi wa Madrasa ya Nuru Islamiya  kwa mwalimu wao Mohamed Hussein hili waweze kujifunza kupitia vifaa hivyo
 Mwalimu wa Madrasa amabye ana uoni hafifu ,Mohamed Katani akitoa neno la shhukrani
 wanafunzi wa madrasa

WADAU WA MITINDO NA UREMBO WAALIKWA KUSHIRIKI MAONESHO UCHINA

Makamu wa Rais wa Maonyesho ya Wachina Maharufu kama China International Beauty Expo African Hall,Rex Chan akizungumza na Waanddishi w...