Saturday, September 2, 2017

EFM NJE NDANI , SINGELI MICHANO ZAPAGAWISHA WAKAZI WA TABATA

 Msanii Chipukizi wa Muziki wa Singeli nchini akionyesha umahiri wake wa kuimba katika jukwaa la Singeli michano linaloendeshwa na programu ya Mziki mnene na Nje ndani  ya Efm Radio
 Mashabiki wa Muziki wa Singeli wakiwa wanashangilia ndani ya Uwanja wa Toto Tundu Tabata Jijini Dar es Salaam leo

 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Harmorapa akiongoza kundi la Efm Joging Tabata katika mazoezi ya mbio za pole yaliyofanyika asubuhi ya eo jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya Wanachama wa Efm Jogging  wakiwa katika mazoezi ya mbio za pole Tabatajijini Dar es Salaam leo
 Mkurugenzi wa Radio ya Efm na Tv E Sebo akiwania mpira mebele ya beki wa Tabata Veterans katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa Tabata Sigara Jijini Dar es Salaam
 Benchi la Ufundi la timu ya Soka ya Efm na Tv E likiongozwa na Sudi Mkumba
 Wacheaji wa Efm wakifanya mazoezi kablaya mchezo huo kuanza mapema leo
Mashabiki wa soka waliofika kutazama mchezo kati ya timu ya Efm na Tabata Veterans

SHAKHA AWAONYA WATAKAOJIUSISHA NA RUSHWA KWENYE CHAGUZI ZA UVCCM

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shakha Hamdu Shakha akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akiotoa taharifa ya mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) na kusema kuwa yoyote atakaye jihusisha na vitendo vya Rushwa asitegee nafasi ndani ya jumuiya hiyo au chama
 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shakha Hamdu Shakha, akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari juuya mwenendo wa Jumuiya hiyo nchini na mafanikio waliyoyapata ndani ya miaka mitatu
 Waandishi wa  Habari walioshiriki mkutano huo wakifatilia hotuba ya Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shakha Hamdu Shakha
 Waandishi wa  Habari walioshiriki mkutano huo wakifatilia hotuba ya Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shakha Hamdu Shakha

Thursday, August 31, 2017

WASANII NGULI NCHINI KUPIMANA MABAVU DIMBA CONCERT TRAVELNTINE MAGOMENI

 Meneja Tukio wa Tamasha la Dimba Concert , Mwani Nyangasa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Tamasha litakalo wakutanisha Wakongwe wa Muziki wa Dansi nchini na bendi ya Msondo Ngoma katika ukumbi wa Traventine September 2 mwaka huu kwa kiingili cha shilingi 10,000 na 20,000 kwa VIP.
 Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi Tanasha la Dimba Concert , Jimmy Chika akifafnua namna bendi hizo zitkavyotoa burudani kwa mashabiki na wadau wa Muziki wa dansi watakaofika katika ukumbi wa traventine siku ya Jumamosi
 Msanii wa Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini, Husein Jumbe akiwatoa hofu Mashabiki wake kuwa muziki wao bado upo juu
 Mwanamuziki wa Mkongwe wa Double M Sound ,  Mwinyjuma Muumini akijgamba kwa tambo kuwa siku hiyo patachimbika kwa hiyo mashabiki wote wasikosekuhudhuria Tamasha hilo
 Mpiga gitaa la solo wa siku nyingi , Adolf Mbinga akionyesha namna atakavyocharaza nyuzi siku ya Tamasha la Dimba Concert siku ya jumamosi
 Mwanamuziki Juma Kakere akieleza namna watakavyoweza kukonga nyoyo za Mashabiki kupitia nyimbo zake kadhaa ambazo ziliweza kutamba
 Rais wa Vijana wa Muziki wa Dansi nchini , Nyoshi Elsadat akieleza namna atakavyoweza kutoa burudani kwa wadau wa muziki wa Dansi na Mashabiki watakaofika siku hiyo
 Wanamuziki wakongwe wakiwa katika mazoezi yao wakionyesha namna watakavyoimba siku ya Dimba Concert  siku ya Jumamosi
 Rais wa Vijana wa Muziki wa Dansi nchini , Nyoshi Elsadat akiimba mbele ya waandishi wa habari namna atakavyofanya siku ya Dimba Concert itakayofanyika Sept 2 mwka huu katika ukumbi wa Traventine Magomeni
Na Agness Francis,Globu ya Jamii
Wanamuziki wakongwe wa Muziki wa Dansi nchini wametambiana kuoneshana uwezo wa kuimba siku ya Tamasha la Dimba Concert litakalofanyika katika ukumbi wa Traventine Magomeni Septemba 2 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam meneja tukio tamasha la  dimba concert,Mwani Nyangasa amesema kuwa maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika kwa   Taifa muziki bendi kupambana na wanamuziki nguli wa Bendi ya Msondo ngoma.

“ dhumuni la tamasha hili ni  kuendeleza muziki wa dansi hapa  nchini  kwa kutumia wasanii hawa wakongwe ili waweze kuonesha vijana,wapenzi na wadau kuwa muziki huu bado upo hai.” Amesema  Nyangasa.

 Nae msanii nguli nchini Hussen Jumbe ametanabaisha kuwa wadau na mashabiki wa muziki huo wafike kwa wingi siku hiyo pale Traveltine  septemba 2 mwaka huu ili kupata radha halisi ya muziki wa dansi.


Kwa upande wake  raisi wa vijana  sauti ya simba Nyoshi El Saadat, amewaomba mashabiki wa muziki huo kufika  kwenye tamasha hilo  na kuwaahidi kutowaangusha na kuwapa burudani ya kukata na shoka.


BANDARI TANGA KUHUDUMIA SHEHENA YA NCHI SABA KWA KUTUMIA MPAKA MMOJA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Bandari ya Tanga inaelezwa kuwa bandari ya kipekee na ya aina yake barani Afrika inayoweza kuhudu...