Friday, October 13, 2017

NAIBU WAZIRI WA ARDHI ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA CHUO ARDHI TABORA


 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla  akiteta na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ardhi Tabora.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla  akiongea na wanafunzi na viongozi wa Chuo cha Ardhi Tabora.
 Wanafunzi wa Chuo cha Ardhi Tabora wakimkisikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla alipokuwa akiwafafanulia jambo.
 Wanafunzi wa Chuo cha Ardhi Tabora wakimkisikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla alipokuwa akiwafafanulia jambo.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla akikagua vifaa vya uchapaji na uandaaji wa ramani vya Chuo cha Ardhi Tabora vilivyogharimu kiasi cha milioni 200.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla akikagua vifaa vya uchapaji na uandaaji wa ramani vya Chuo cha Ardhi Tabora vilivyogharimu kiasi cha milioni 200.

Mkuu wa Chuo cha Ardhi Tabora Bwana Biseko Musiba akimuonesha mandhari ya Chuo cha Ardhi Tabora Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU ;UTALII KUONGEZA MAPATO KUFIKIA DOLA BILIONI 16 IFIKAPO 2025Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mapato yatokanayo  na utalii yanataraji kukua hadi kufikia Dola za kimarekani USD 16 Bilioni Ifikapo 2025.

Makamu wa Rais amesema hayo leo jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (SITE), yaliyoanza leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

“tunamategemeo ya kufikia kiwango hicho cha pesa hivyo serikali ya Tanzania inatambua umuhimu wa kuinua uchumi kupitia sekta ya utalii kwa kuweka mazingira mazuri kwa kuwa na Miundombinu ya kutosha ikiwemo barabara , Mashirika ya ndege, Njia za maji pamoja na Mazingira mazuri ya biashara ya utalii nchini hili kurahisishia sekta hii na wadau kufanya kazi kwa ufanisi ” amesama Makamu wa Rais Mama Samia.

Amesema kuwa serikali imejidhatiti katika kuinua sekta ya utalii nchini hivyo maonesho haya yataileta sekta hii nchini na wadau wengine kwa kuona fursa zilizopo na kushughulika nazo .

Makamu wa Rais amesema kuwa Tanzania imezidi kuwa sehemu bora Zaidi ya utalii Duniani kutokana na machapisho na tovuti nyingi kueleza vivutio vilivyopo.

Ametaja kuwa SafariBookings.com imetaja Tanzania ndio sehemu bora Afrika ya kufanya utalii kwa kueleza alma kama Mlima Kilimanjaro ,Ngorongoro Crater na hifadhi ya Taifa ya Serengeti kama moja ya maajabu saba ya Dunia.
Aidha amesema kuwa Jarida la New Yoork Times nalo limeitaja Tanzania kuwa ni sehemu bora katika ulimwengu kwa ajili ya utalii pia mtandao wa Fox News.Com Umeleza kuwa Ngorongoro Kreta kuwa ni moja ya Sehemu nzuri  ya kutembelea.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya Swahili Expo (SITE), leo jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Maliasili na Utalii Dk .Hamisi Kigwangala akiongea kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua Maonesho ya kimataifa ya Utalii.
 Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachiakizunguma wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya Swahili  Expo yanayo enedele katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini(TTB) Jaji Thomas Mihayo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Swahili Expo
 Makamu wa Rais wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi za Taifa(TANAPA), Jenerali George Waitara  wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Site yanayoendelea jijini Dar es Salaam
 Makamu wa Rais wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan akikabidhi zawadi kwa Meneja wa Shirika la Ndege Ethopia, Daula Tefers   wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Site yanayoendelea jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan akikabidhi zawadi kwa Naibu Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Tanzania, Dr. Maurus Msuha wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Swahili Expo Site

 Makamu wa Rais wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan  akiwa ametembelea banda la Hifadhi ya Taifa nchini Tanapa na kuzungumza na Mkurugenzi wa shirika hilo Alan kijazi wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Site yanayoendelea jijini Dar es SalaamMakamu wa Rais wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania, Geofrey Meena wakati wa Maonesho ya Swahili Expo
 Menwashiriki wa Mkutano huo wakifatili ahotuba ya Makamu wa Rais Jijini Dar es SalaamHER INITIATIVE YATOA ELIMU YA AFYA KWA WANAFUNZI KAWE

 Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Her Initiative,Lydia Charles akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kawe wakati  wa mahadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani kwa kutoa elimu ya afya ya Uzazi na kuwapima afya wanafunzi wa kike wa shule hiyo .
 Mmoja watangazaji wa kipindi cha Mitindo cha Clouds Televisheni akiwa na mmoja wanafunzi wa shule ya Sekondari kawe wakati alipokuwa akitoa somo la afaya ya uzazi kwa wanafunzi hao  kupitia programu ya Her Initiative.
 Mtangazaji wa kipindi cha Clouds E, Saida Khalifani(Shadey) akizungumza na wanfunzi wa kike wa shule ya sekondari ya Kawe juu ya hatua muhimu za kupitia kufikia ndoto zao wakati wa tasisi ya Her Initiative ilipokwenda shuleni hapo katika mahadhimisho ya siku ya mtoto wa kike Duniani
 Madaktari wakiendelea na zoezi la upimaji afya kwa wanafunzi na wadau waliofika katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike katika shule ya Sekondari ya Kawe.
 Wadau wakiwa katika picha ya pozi na wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari ya Kawe katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Kike Duniani.
 Dk. Irene Shirima akimpima mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kawe wakati wa kuahadhimisha siku ya Mtoto wa kike Duniani
 Mtangazaji wa kipindi cha Clouds E, Saida Khalifani(Shadey) akipima afya na  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kawe wakati wa kuahadhimisha siku ya Mtoto wa kike Duniani
 Dk. Irene Shirima akimpima mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kawe wakati wa kuahadhimisha siku ya Mtoto wa kike Duniani

Thursday, October 12, 2017

WAZIRI MBARAWA ASISITIZA JUU YA KUWATUMIA WAANDISI VIJANA KATIKA MILADI MIKUBWA NCHINI

 Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Waandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi  wa MlimanI City Jijini  Dar es Salaam
 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akikabidhi zawadi kwa Mwalimu wa shule ya Sekondari Royola , Venancy Robert mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa sekondari zote nchini
 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Waandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi  wa MlimanI City Jijini  Dar es Salaam
 Waziri wa  Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa ,  kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Royola,Ashraf Raphael mara baada ya kuibuka bingwa wa kitaifa katika uandishi wa Insha
 Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi
Waziri wa  Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Insha za uandishi wa majengo

HDIF YAKUTANA NA WADU WAKE KUHADHIMISHA SIKU YA MTOTOI WA KIKE DUUNIANI

 Mkurugenzi wa Shule Direct Faraja Nyarandu akizungumza na washiriki wa mkutano maalum  wa siku ya Mtoto wa Kike Duniani ulioandaliwa na Tasisi ya HDIF kwa wanufaika wake wanaopigania maendeleo ya mtoto wa kike nchini
 Mkurugenzi wa Shule Direct Faraja Nyarandu akizungumza na washiriki wa mkutano maalum  wa siku ya Mtoto wa Kike Duniani ulioandaliwa na Tasisi ya HDIF kwa wanufaika wake wanaopigania maendeleo ya mtoto wa kike nchini
 Meneja Mipango na Mahusiano kutoka HDIF ,Emma Devies akizungumza na wadau waliofika katika mkutano maalum wa maahdhimsiho ya siku ya mtoto wa kike Duniani
 Wadau walioshiriki katika mkutano huo ulioandaliwa na HDIF  Katika ukumbi wa COSTECH Jijini Dar es Salaam
 Binti amabye ni mtaalamu wa Panya kutoka Chuo Kikuu cha kilimo cha SUA,Mariam Juma akitoa maelezo jinsi Panya hao wanvyoweza kumgundua mtu mwenye Vimelea vya ugonjw awa Kifua kikuu
 Meneja mrradi wa kupinga ukeketaji afya ya uzazi na Mazingira kutoka Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga kutoka Shirika la Amref Afrika , Dr. Jane Sempeho akiwaonyesha wadau waliofika kutaka kujua juu ya kameoni yake ya Stop Cut
 Wataalamu kutoka HDIF wakifatilia mkutano huo kwa makini
wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika mkutano huo

Wednesday, October 11, 2017

WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI MWALIMU NYERERE KWA KUTUMIA MAPINDUZI YA VIWANDA


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Watanzania wametakiwa kuunga mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli katika adhma yake ya kufanya nchi hii kuwa na uchumi wa viwanda kwa kuendelea kusimamia mawazo wa aliyekuwa Rais wa kwanza nchini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, William Tata Ole Nasha alipokuwa akifungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Julius .K. Nyerere lilifanyika katika ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

“Baba wa taifa Julius Kambarage Nyerere anakumbukwa kwa mtazamo wake wa kuanzisha ,kuendeleza na kudumisha viwanda vya ndani ya nchi kukidhi mahitaji ya wananchi pasipo kutegemea Zaidi uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi .uthubutu wa kuanzisha Viwanda vya nguo kama vile Kiwanda cha Urafiki ,Mwatex , Mbeyatex na Mutex ni hatua inayokisi mtazamo wake juu ya Viwanda.” Amesema Ole Nasha.
Amesema hivyo kwa namna ya pekee  nimpongeze Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. John Magufuli, anavyosimamia utekelezaji wa mpango huu kwanza kwa kurejesha maadili kwa viongozi na kusimamia matumizi ya rasilimali bora za nchi.

Kwa upande wake mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ,Prof. Shadrack Mwakalila amesema Baba wa Taifa alisema Julai 29 mwaka 1961 wakati wa ufunguzi wa chuo hicho kuwa alisema kuwa wale wote watakaopata nafasi ya kusoma na kufuzu kivukoni watafanana ma hamira katika mkate. Haiwezekani kutenga hamira katika mkate bali tunajua hamira ipo kwa kutazama jinsi ilivyomua mkate.

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , William Ole Nasha  akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya  akizungumza wakati wa Kongamano la la mahadhimsho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika katika chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Kongamano la Mahadhimisho ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mama Anna Makinda akizungumza wakati akifungua mdahaloi huo.
 Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni , Hashim Mgandilwa akizungumza wakati wa kutoa neno la ukaribisho wa wajumbe waliofika katika kongamano la Maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni.
 Kaimu Balozi wa Jamhuri ya watu wa China nchini akikabidhi zawadi ya Vitabu zinavyomzungumzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika kongamano la Maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni.
 Sehemu ya Wajumbe walio hudhulia Kongamano la kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
 Mkurugenzi wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere , Joseph Butiku akizungumza  wakati akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano kizungumza  wakati akiwasilisha mada kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Wajumbe walioshiriki  kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam


Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndungulile kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Wajumbe walioshiriki  kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Wajumbe walioshiriki  kwenye Kongamano la Mahadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa utamaduni wa Chuo cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

BANDARI TANGA KUHUDUMIA SHEHENA YA NCHI SABA KWA KUTUMIA MPAKA MMOJA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Bandari ya Tanga inaelezwa kuwa bandari ya kipekee na ya aina yake barani Afrika inayoweza kuhudu...