Wednesday, March 21, 2018

MEYA MANISPAA ILALA AONGOZA MAZISHI YA MAMA YAKE KUMBILAMOTO MWANAISHA OMARY

 Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko akitoa salamu za pole za Manispaa ya Ilala kwa wafiwa wakati wa msiba wa Mama yake Naibu Meya Omary Kumbilamoto.

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akiwa katika majonzi wakati wa kumzika mama yake Mzazi Mwanaisha Omary katika makaburi yaliyopo kijijini kweao Kauzeni Wilaya ya Kisarawe mkoani pwani.

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro akitoa salamu za pole za ofsi ya Mkuu wa Wilaya kwenye msiba wa mama yake Naibu Meya wa Manispaa hiyo , Omary Kumbilamoto.
  Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,akitoa mawaidha wakati wa msiba wa Mama yake Naibu Meya
 Waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Mama yake Naibu Meya wa  Mwanaisha  Omary Kumbilamoto katika ibada iliyofanyika nyumbani kwa Naibu Meya Vingunguti Dar es Salaam.

 waombolezaji wengine ambao ni Dada zake Naibu Meya Wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika majonzi mazito.
 Mkuu wa Kikosi Cha Anga 622, Canala Haule akitoa salamu za pole kwa familia hiyo kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambapo mmoja wa mtoto wa marehemu anafanyakazi jeshini.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akitoa pole kwa wafiwa  katika msiba wa Mama yake Niabu Meya wa Manispa aya Ilala, Mwanaisha Omary.
 Baadhi ya Viongozi wa Kisiasa  waliofika kumfariji Naibu wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto


waombolezaji wakiwa wanahuhifadhi mwili wa Marehemu Mwanaisha Omary Kumbilamoto Kaburini.

No comments:

Post a Comment

TAMASHA LA WASANII WILAYA YA TEMEKE KUPAMBWA NA PATRICIA HILLARY

CHAMA Cha waigizaji Mkoa Temeke  kimeamua kukusanya  waigizaji wote waishio Dar es salaam wilaya ya temeke. Akizungumza n...