DC TEMEKE ASHIRIKI MAHAFALI YA SHULE YA MSINGI BETHEL MABIBO EXTENAL

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akikata utepe kuzindua sherehe ya kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwa shule hiyo na hafla ya mahafali ya 14 ya darasa la saba shuleni hapo Mabibo External jijini Dar es Salaam . Kushoto ni Mkurugenzi wa Shule ya awali na msingi ya Bethel Mission, Emmanuel Mshana

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa   maadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa shule hiyo na hafla ya mahafali ya 14 ya darasa la saba shuleni hapo Mabibo External jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mch Bright Fue na Mkurugenzi wa Shule ya awali na msingi ya Bethel Mission, Emmanuel Mshana
 Wahitimu wa Darasa la saba katika Shule ya Bethel Mission ya mabibo External jijini Dar es Salaam  Wakiwa na walimu wao wakikata keki kuashiria miaka 20 ya shule hiyo
 Mkurugenzi wa Shule ya awali na msingi ya Bethel Mission, Emmanuel Mshanaakizungumza na wanafunzi pamoja na wazazi waliofika shuleni hapo


Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Shule ya awali na msingi ya Bethel Mission, Emmanuel Mshana kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa shule hiyo na hafla ya mahafali ya 14 ya darasa la saba shuleni hapo Mabibo External jijini Dar es Salaam

Post a Comment

Previous Post Next Post