UJENZI BARABARA YA KIMARA KOROGWE KWENDA TABATA KUPITIA KIBANGU WAFIKIA PAZURI ZEGE LATANDIKWA MADARAJA YAKAMILIKA


 Sehemu ya Madaraja yanayojengwa katika Barabara inayotoka kimara Korogwe kupitia Kibangu mpaka Tabata yakiwa katika hatua za Mwisho za kukamilika hili kupunguza foleni katika barabara ya Morogoro Road ambayo inajengwa kw anjia sita kwa sasa kutoka Ubungo mpaka kibaha hivyo njia hizi za mchepuko zitasaidia kwa kiasi kikubwa kugawa magari yanayokwenda Tabata, Vingunguti mpaka Temeke.
 Upande wa pili wa Daraja hilo ukionekana huku gari ikibeba udongo usiohitajika katika pembezoni mwa daraja hilo.
 Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara Korogwe kupitia Kibangu Mpaka Tabata Kisukulu kwa kiwango cha zege la kisasa kama ilivyojengwa barabara ya Mwendokasi
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara Korogwe kupitia Kibangu Mpaka Tabata Kisukulu kwa kiwango cha zege la kisasa kama ilivyojengwa barabara ya Mwendokasi huku upande uliokamilika vyombo vya moto vikipita


Post a Comment

Previous Post Next Post